Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
atuambie ile kauli yake ya kuwa Zitto auawe vipi aliitoa kwa kigezo gani cha haki na busara!?Yeye atulie vyeo ni vingi sana nchi hii atapewa.Bila shaka ameonja joto la kilimo sasa kakumbuka kiyoyozi cha bure Serikalini asihofu,mwambieni atapewa cheo muda si mrefu lakini si lazima aropokeAlly Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa.
Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale wanayo yasema wapinzani. Mtu yoyote ambaye si mpinzani hiyo sio busara sasa uwezi kuonyesha ukweli au haki ni yako tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Maza alinyoosha mkono wa maridhiano,mmempanda kichwani,acheni awachue kwa karafuuHuyu nae atulie, mbona atalamba teuzi very soon, maana hapo kwa jumuia anaona hapamfai. Lol
Huyo maza wako ni wakala wa Ibilisi. Kwa mtazamo wake, what’s wrong with the opposition’s call for meaningful electoral reforms to make our elections free and fair?Maza alinyoosha mkono wa maridhiano,mmempanda kichwani,acheni awachue kwa karafuu
Mama Samia hakustahili kuwa rais wa hii nchi, it came to her as an accident na it is an accident now kwani anaonyesha kabisa kuwa hajakomaa kisiasa, Kikwete na Mze Makamba wanamlostisha mno ili kumuangusha kisiasa. Mama kachanganikiwa mpaka anatumia vilaza kama Steve Nyerere, Dotto Magari na Mwijaku as washauri wake wakuu, seriously?Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa.
Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale wanayo yasema wapinzani. Mtu yoyote ambaye si mpinzani hiyo sio busara sasa uwezi kuonyesha ukweli au haki ni yako tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mama hana hoja, anaogopa mabadiliko as yatamu-implicate yeye na wezi wenzie wa CCM. Wananchi wamechoka ujinga, tunataka kushikisha adabu viongozi wezi waliopita na hawa waliopo maarakani hivi sasa. Hii nchi ni ya Watanzania si mali ya mtu binabfsi.Huyo maza wako ni wakala wa Ibilisi. Kwa mtazamo wake, what’s wrong with the opposition’s call for meaningful electoral reforms to make our elections free and fair?
Anadanganyika na short-term payoffs. Hii ilikuwa golden opportunity ya kuweka historia iliyotukuka, kwa kujenga demokrasia ya kweli nchini. Angekumbukwa siku zote kama mama wa demokrasia nchini.Mama hana hoja, anaogopa mabadiliko as yatamu-implicate yeye na wezi wenzie wa CCM. Wananchi wamechoka ujinga, tunataka kushikisha adabu viongozi wezi waliopita na hawa waliopo maarakani hivi sasa. Hii nchi ni ya Watanzania si mali ya mtu binabfsi.
Sasa atakumbukwa kama FaizaFoxy ama Mama muuaji, kuwadi wa shetani. Kwa kweli she's patheitc.Anadanganyika na short-term payoffs. Hii ilikuwa golden opportunity ya kuweka historia iliyotukuka, kwa kujenga demokrasia ya kweli nchini. Angekumbukwa siku zote kama mama wa demokrasia nchini.
Hiki kijitu takataka njaa imepanda mmpaka kwenye medulla oblongata, kiko kama zuzuz tu! stupid maviAlly Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa.
Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale wanayo yasema wapinzani. Mtu yoyote ambaye si mpinzani hiyo sio busara sasa uwezi kuonyesha ukweli au haki ni yako tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sijaelewa alichoongea huyu mchumia tumboAlly Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa.