Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huku inashindikana nini wakati hatuna machafuko!?Libya ilikuwa nchi yenye uchumi imara na maisha mazuri kwa wananchi wake, ikiwemo huduma za afya, elimu na maji bure.
Siasa za kizamani sana. Mna kula raslimali za nchi left, right and centre, wananchi wanabaki maskini harafu mnawaambia tulinde sana nchi yetu na amani yetu.Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amesema "Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi". Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja me wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amewasihi Watanzania kulinda amani na utulivu uliopo nchini.
Katika hotuba yake, Hapi alieleza mfano wa nchi ya Libya kabla na baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kiongozi wake Muammar Gaddafi, akibainisha kuwa Libya ilikuwa nchi yenye uchumi imara na maisha mazuri kwa wananchi wake, ikiwemo huduma za afya, elimu na maji bure.
Hata hivyo, kutokana na ushawishi wa nje na msukumo wa mabadiliko bila kutafakari madhara yake, nchi hiyo ilitumbukia kwenye machafuko na vita ambavyo hadi leo vimeharibu amani na uchumi wao.
Anamlinganisha Gadaff na nani?Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amesema "Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi". Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja me wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amewasihi Watanzania kulinda amani na utulivu uliopo nchini.
Katika hotuba yake, Hapi alieleza mfano wa nchi ya Libya kabla na baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kiongozi wake Muammar Gaddafi, akibainisha kuwa Libya ilikuwa nchi yenye uchumi imara na maisha mazuri kwa wananchi wake, ikiwemo huduma za afya, elimu na maji bure.
Hata hivyo, kutokana na ushawishi wa nje na msukumo wa mabadiliko bila kutafakari madhara yake, nchi hiyo ilitumbukia kwenye machafuko na vita ambavyo hadi leo vimeharibu amani na uchumi wao.
Afadhali ya Gaddafi alikuwa na akili sana kama sungura maana hakumshika mkono kipofu..Gaddafi na wanawe walikuwa na tamaa za mali na madaraka kama alivyo Ssh na wanawe.
Hapo wote walio mzunguka ni wale wafia chama hivyo usitegemee kama kuna mtu mwenye uwezo wa kuhoji hata mmojaSiasa za kizamani sana. Mna kula raslimali za nchi left, right and centre, wananchi wanabaki maskini harafu mnawaambia tulinde sana nchi yetu na amani yetu.
Wanashindwa kijibu hoja
Huku watawala wanjihudumiaHuku inashindikana nini wakati hatuna machafuko!?
Afadhali ya Gaddafi alikuwa na akili sana kama sungura maana hakumshika mkono kipofu
Wawe wanatafuta mifano sahihi sasa.Huku watawala wanjihudumia
Nitawaunga mkono mabeberu wakitaka sapoti yanguKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amesema "Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi". Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja me wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amewasihi Watanzania kulinda amani na utulivu uliopo nchini.
Katika hotuba yake, Hapi alieleza mfano wa nchi ya Libya kabla na baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kiongozi wake Muammar Gaddafi, akibainisha kuwa Libya ilikuwa nchi yenye uchumi imara na maisha mazuri kwa wananchi wake, ikiwemo huduma za afya, elimu na maji bure.
Soma > Ally Hapi: Rais endelea na kazi, CHADEMA tuachie sisi
Hata hivyo, kutokana na ushawishi wa nje na msukumo wa mabadiliko bila kutafakari madhara yake, nchi hiyo ilitumbukia kwenye machafuko na vita ambavyo hadi leo vimeharibu amani na uchumi wao.
Kama alikuwa anahutubia hapo ni sawa ana haki ya kuwahutubia bila kusema ni kwanini nchi hiyo ilifikia hapo. Angekuwa anajadiliana ndio ingependeza aulizwe ilikuwaje wananchi wa nchi hii wakamkataa Gaddafi, na kwanini Gaddafi alilazimisha kuwa yeye tu kiongozi wa Libya.Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amesema "Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi". Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi pamoja me wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amewasihi Watanzania kulinda amani na utulivu uliopo nchini.