Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Chawa wakubwa wanaendelea na kazi yao kuhakikisha mama anakuwa anapambaniwa na kukubalika vilivyo, kwa upepo unavyoenda mnaonaje Wakuu, watatoboa?
Rais Samia amekuwa muungwana anayeipenda nchi yetu ambapo kaendeleza miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ili watanzania wafaidi matunda yake.
Kwa kazi nzuri hii aliyoifanya Rias Samia lazima wana Isaka tumuunge mkono yeye na serikali yake na CCM, na sisi vijana wake aliyotupa nafasi tuko tayari kumsaidia mchana na usiku kwasababu nia, dhamira, uhodari wake wake wa kuchapa kazi tunaujua. Tutamuunga mkono, tutamsaidia, tutamsemea na tutamlinda dhidi ya wote wanaotaka kumnyooshea vidole.
Wako watu wakiona maendeleo haya hawapendi kwa sababu mtaji wao sisi tusipate maendeleo ili kesho wakija waseme watafanya. Sisi tunasema Rais Samia anachapa kazi, tutamuunga mkono na tunakwenda naye na 2025 tunasema mitano tena, kwasababu anastahili.
Ally Hapi ameyasema hayo jana Oktoba 1, 2024 alipopokelewa na wananchi wa Isaka-Kahama, Shinyanga ambako anatarajiwa kufanya ziara ya siku 6 mkoani humo.
Soma:
=> Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma
=> Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
=> Agizo hili la Rais kwa vyombo vya Dola ni Amri, lakini binafsi natoa angalizo kwa kurejea uzoefu wa nyuma