Chawa wakubwa wanaendelea na kazi yao kuhakikisha mama anakuwa anapambaniwa na kukubalika vilivyo, kwa upepo unavyoenda mnaonaje Wakuu, watatoboa?
Rais Samia amekuwa muungwana anayeipenda nchi yetu ambapo kaendeleza miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ili watanzania wafaidi matunda yake.
Kwa kazi nzuri hii aliyoifanya Rias Samia lazima wana Isaka tumuunge mkono yeye na serikali yake na CCM, na sisi vijana wake aliyotupa nafasi tuko tayari kumsaidia mchana na usiku kwasababu nia, dhamira, uhodari wake wake wa kuchapa kazi tunaujua. Tutamuunga mkono, tutamsaidia, tutamsemea na tutamlinda dhidi ya wote wanaotaka kumnyooshea vidole.
Wako watu wakiona maendeleo haya hawapendi kwa sababu mtaji wao sisi tusipate maendeleo ili kesho wakija waseme watafanya. Sisi tunasema Rais Samia anachapa kazi, tutamuunga mkono na tunakwenda naye na 2025 tunasema mitano tena, kwasababu anastahili.
Ally Hapi ameyasema hayo jana Oktoba 1, 2024 alipopokelewa na wananchi wa Isaka-Kahama, Shinyanga ambako anatarajiwa kufanya ziara ya siku 6 mkoani humo.

Watanzania tulijua tu Kwa Samia kuwarudisha hawa akina Hapi na Bashite Kwenye System, haya yanayotokea hivi sasa yatatokea..............
Hivi huyu Hapi aliyekosa heshima na kuwaambia wastaafu kuwa wafunge midomo yao Kwa kuwa vipindi vyao vya utawala vimeisha, Kwa hiyo wakae kimya, hivi mtu huyo ni wa kumrudisha Kwenye System??
Hivi huyu Bashite naye ambaye hata nchi ya Marekani imempiga marufuku yeye na mkewe, wasikanyage tena Marekani Kwa kosa la kuwanyima uhuru wa kuishi raia wema wa nchi hii, ndiyo Mama akaona naye amrudishe Kwenye System??😳