Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi?
======
"Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM, ndhicho chama bora na makini kinachosimamia shida za watu kwa dhati.
"Vile vyama vingine bado havijakomaa, ni vijiwe, sasa usiweze kuwapa watoto shughuli ya mtu mzima, hawatoiweza, shughuli ya kuongoza ni ya CCM, tutahakikisha tunawaletea wanachi wagombea bora, wenye sifa na wanaokubalika, wachagueni ili wakaliendeleze gurudumu la maendeleo hapa Isaka-Kahama."
Ally Hapi ameyasema hayo jana Oktoba 1, 2024 alipopokelewa na wananchi wa Isaka-Kahama, Shinyanga ambako anatarajiwa kufanya ziara ya siku 6 mkoani humo.
Pia, Soma:

- CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa
- Tutegemee kuhama kwa wanasiasa baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na pia atakayeongoza huo ndiye mshindi 2025
- CCM na vyama vingine vipo mitaani na mitandaoni kutafuta kura cha uchaguzi wa mitaa, CHADEMA wapo Mahakamani kupinga uchaguzi