ally kamwe akijichanganya kibarua chake kinaweza kuisha leo

ally kamwe akijichanganya kibarua chake kinaweza kuisha leo

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,203
I wil be short

hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana.

mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
 
Yule mbona boya tu, ana maamuzi gani zaidi ya kuelekezwa cha kusema?
 
Unalipi l kusema.
Uzi huu umefungwa
 

Attachments

  • Screenshot_20250609-132501.png
    Screenshot_20250609-132501.png
    522.6 KB · Views: 37
I wil be short

hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana.

mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
Haya ameshaandika kuwa hawachezi hadi barua yao ya awali ijibie, tabiri kinachofuata
 
Kitendo cha bodi kuwaita Yanga kujadili mchezo namba 184 tena kikihusisha wajumbe wote wa kamati tendaji ya Yanga maana yake bodi hawana uwezo tena kutekeleza maamuzi yao juu ya mechi no 184 kuchezwa tarehe 15.

Kwasasa bodi wame iita kamati tendaji ili kuwaomba watafute namna ya kupata suruhu juu ya mechi iyo, kama itachezwa ichezwe vipi.
Maana yake Yale maamuzi yao ya ki babe waliyofanya bila kuihusisha Yanga yame gonga ukuta.

Walichofanya Bodi walitakiwa walifanye kabla ya kutangaza tarehe mpya ya mchezo ila kwakua akili ime warejea wanaweza kupata Suluhu juu ya mechi hii.
Bodi walikua wamefanya u babe na Kiburi jambo lilikua linakwenda kuharibika ila kwa walichofanya kipo kitu kipya kinaweza kupatikana.

Kwa hali ilivyo Sasa ata Ally Kamwe akosee ni ngumu kwa bodi kumwadhibu kwakua bodi Yenyewe inatambua haikustahili kuwepo mpaka Leo kwa makosa mengi iliyofanya kwa kipindi kifupi.
 
No reforms no election
Wasitutoe barabarani kwa ujinga wao waliousababisha wenyewe.
Kila mara kukiwa na joto watu wa TISS hukimbilia Simba vs yanga kupoza joto
 
Back
Top Bottom