Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Ana nguvu ya maamuzi yoyote huko Yanga?I wil be short
hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana.
mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza akijichanganya tu. wana mkataa mazima
tutamkataaje wakati anawakera vyema makoloHatuwez kumkataa maana kuna mda anatufurahsha huko instagram
Yule ahmed ally haelewek kabsatutamkataaje wakati anawakera vyema makolo
Acheni uzwazwa, kama mna majibu tayari, basi mngewazuia wasihudhurieI wil be short
hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana.
Haya ameshaandika kuwa hawachezi hadi barua yao ya awali ijibie, tabiri kinachofuataI wil be short