Ally Kamwe aliona mbali aliposema target yao ni makundi.

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Huyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana.

Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi atakayefuzu ndo hao hao namba 1 na 2
View attachment 2774059
 
Makundi hayachezi mpira

Rekodi hazichezi mpira

Trend hazichezi mpira

Punguzeni uoga nyie watuu

Aahaaaa
 
Huyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana.

Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi atakayefuzu ndo hao hao namba 1 na 2
View attachment 2774059
Wakati unaiwazia Yanga ambayo kimsingi itaingia tu hatua ya robo fainali msimu huu! Una uhakika wa asilimia ngapi kwa timu yako ya simba kuvuka hatua hii ya makundi?

Maana kwa upande wangu naona kabisa safari yenu ndiyo imefikia tamati.
 
Huyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana.

Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi atakayefuzu ndo hao hao namba 1 na 2
View attachment 2774059
Hupo pot 2 wa kundi B ataambulia jumla ya alama tatu tu atakazozipata katika uwanja wake wa nyumbani na kujikuta ni wa mwisho kwenye kundi lake.
Atakua amekufa KIUME kweli kweli safari hii.
 
Back
Top Bottom