Makundi hayachezi mpiraHuyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana.
Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi atakayefuzu ndo hao hao namba 1 na 2
View attachment 2774059
Na hiyo ndo hofu ya wanasimbaSimba jiandaeni kufedheshwa. Yanga itaongoza kwenye kundi lake.
Wakati unaiwazia Yanga ambayo kimsingi itaingia tu hatua ya robo fainali msimu huu! Una uhakika wa asilimia ngapi kwa timu yako ya simba kuvuka hatua hii ya makundi?Huyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana.
Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi atakayefuzu ndo hao hao namba 1 na 2
View attachment 2774059
Hupo pot 2 wa kundi B ataambulia jumla ya alama tatu tu atakazozipata katika uwanja wake wa nyumbani na kujikuta ni wa mwisho kwenye kundi lake.Huyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana.
Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi atakayefuzu ndo hao hao namba 1 na 2
View attachment 2774059
Hata Simba alishaongoza kundi mbele ya Al Ahly kwaiyo hakuna jipya hapoSimba jiandaeni kufedheshwa. Yanga itaongoza kwenye kundi lake.