Ally Kamwe amjibu Ahmed Ally

Ally Kamwe amjibu Ahmed Ally

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
"Eti Tunapendelewa?
Sisi Tulishaanza mchakato wetu wa safari mapema. Zaidi ya Mashabiki 30 walishalipia 600,000 zao za safari .. Uongozi ukaona kuna Fursa ya kuishirikisha Serikali kusaidia kidogo mashabiki wetu kwenye accommodation.."

"Bahati nzuri, Mungu ametujaalia Serikali yenye viongozi wenye upendo. Wakapokea ombi letu, wakapitia bajeti yetu.. Na kwa maslahi mapana ya Nchi, Wakaibeba Safari ya Mashabiki wetu."

"Kwa mkurupuko mkubwa.. Kwa hoja za kitoto kabisa, wameibuka na kudai Eti na wao wasafirishwe na Serikali kama Yanga
Hii inatafsiri katika mipango yao, hawakuwawaza mashabiki wao kwa Lolote kwenye hii safari. Walishawatelekeza.."

"Hakukuwa na Plan Yoyote kuhusu wao lla kwa sababu Yanga wamewaza na Jambo Limefanyika .. Basi nao kipele kikawawasha."

"Mkome ! Hamko Levo zetu na Hamtakaa mfike. Uzembe wenu msitake kuwabebesha lawama viongozi wetu wa Serikali ambao kwa kipindi cha miaka hii miwili wamekuwa Bega kwa Bega kuhakikisha wanasaidia maendeleo ya Sekta yetu ya Michezo.."

©️ Ally Kamwe
Afisa habari wa Yanga SC
 
[emoji2399] Ally Kamwe
Afisa habari wa Yanga SC
Upuuzi mtupu, sio kila kitu kijibiwe, angekaa kimya ingekuwa vema zaidi maana halina hasara yoyote kwa klabu yake.

Vv
 
Ukaribu wenu na serikali unawanufaisha Yanga na hilo halina ubisha.
 
Back
Top Bottom