muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Wakati yanga wapo na twenzetu Kwa madiba,hivi Simba walikuwa na hamasa ipi,Simba imepoa na ipo kinyonge sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti viongozi wenye upendo! Wangekuwa wana upendo wangeacha wagonjwa wanaoshindwa kulipia matibabu mahospitalini kufa ovyo! Waseme wana maslahi yao binafsi kwenye hilo jambo.Bahati nzuri, Mungu ametujaalia Serikali yenye viongozi wenye upendo.
Mama kawalipia nauli waende, wote waliolipiwa ni wale kina🐸🐸 pangu pakavu tia mchuzi akiwemo Frank Wanjiru 🤣Unchekesha mkuu, huyo unamuona hata hela ya kununua hata jezi anayo,,achilia mbali kutoa pesa kusafiri nje ya nchi?? [emoji23]
Huyo nae si nasikia kule Kwa akina Pdidy.Upuuzi mtupu, sio kila kitu kijibiwe, angekaa kimya ingekuwa vema zaidi maana halina hasara yoyote kwa klabu yake.
Vv
"Hakukuwa na Plan Yoyote kuhusu wao lla kwa sababu Yanga wamewaza na Jambo Limefanyika .. Basi nao kipele kikawawasha."
"Mkome ! Hamko Levo zetu na Hamtakaa mfike. Uzembe wenu msitake kuwabebesha lawama viongozi wetu wa Serikali ambao kwa kipindi cha miaka hii miwili wamekuwa Bega kwa Bega kuhakikisha wanasaidia maendeleo ya Sekta yetu ya Michezo.."
.."Eti Tunapendelewa?
Sisi Tulishaanza mchakato wetu wa safari mapema. Zaidi ya Mashabiki 30 walishalipia 600,000 zao za safari .. Uongozi ukaona kuna Fursa ya kuishirikisha Serikali kusaidia kidogo mashabiki wetu kwenye accommodation.."
"Bahati nzuri, Mungu ametujaalia Serikali yenye viongozi wenye upendo. Wakapokea ombi letu, wakapitia bajeti yetu.. Na kwa maslahi mapana ya Nchi, Wakaibeba Safari ya Mashabiki wetu."
"Kwa mkurupuko mkubwa.. Kwa hoja za kitoto kabisa, wameibuka na kudai Eti na wao wasafirishwe na Serikali kama Yanga
Hii inatafsiri katika mipango yao, hawakuwawaza mashabiki wao kwa Lolote kwenye hii safari. Walishawatelekeza.."
"Hakukuwa na Plan Yoyote kuhusu wao lla kwa sababu Yanga wamewaza na Jambo Limefanyika .. Basi nao kipele kikawawasha."
"Mkome ! Hamko Levo zetu na Hamtakaa mfike. Uzembe wenu msitake kuwabebesha lawama viongozi wetu wa Serikali ambao kwa kipindi cha miaka hii miwili wamekuwa Bega kwa Bega kuhakikisha wanasaidia maendeleo ya Sekta yetu ya Michezo.."
[emoji2399] Ally Kamwe
Afisa habari wa Yanga SC