Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo: akisema: "Sijakutuma kuniombea msamaha," baada ya Kampuni ya Kisheria inayomwakilisha mfanyabiashara Sandaland the Only One, mtengenezaji wa jezi za Klabu ya Simba, kumtumia barua ikimtaka kulipa fidia ya Shilingi Bilioni Tatu.
Barua hiyo inadai kwamba kauli za Kamwe zimemchafua mteja wao na kuathiri biashara zake, hali iliyoibua mjadala mkubwa.
Pia, Soma: Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba
Barua hiyo inadai kwamba kauli za Kamwe zimemchafua mteja wao na kuathiri biashara zake, hali iliyoibua mjadala mkubwa.