Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Inakuondoa wewe na nani? Hivi mbona nyie CDM mnapenda sana kujipa unuhiku msiokuwa nao kwenye maisha ya watanzania? Yaani hamtaki watanzania tuongee masuala mengine zaidi ya kuwaonea huruma mlivyoshindwa kusimamisha wagombea kwenye baadhi ya maeneo na mkapata asilimia 0.09 kwenye uchaguzi nchi nzima?Hizi episode ni kutuondoa kwenye kujadili madudu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa
🤣Hizi episode ni kutuondoa kwenye kujadili madudu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Inakuondoa wewe na mumeo. Sisi wengine habari za uchaguzi zilishapitaHizi episode ni kutuondoa kwenye kujadili madudu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Wengine na nani. Mbona unajifanya unaongea kwa niaba ya wengine!?Inakuondoa wewe na mumeo. Sisi wengine habari za uchaguzi zilishapita
Mimi na wanaCCM wenzangu.Wengine na nani. Mbona unajifanya unaongea kwa niaba ya wengine!?
Halafu mambo ya Mume kuleta kwenye mijadala haiswihi.
Is sad kwamba idiot hawezi kujua kama ni idiotInakuondoa wewe na nani? Hivi mbona nyie CDM mnapenda sana kujipa unuhiku msiokuwa nao kwenye maisha ya watanzania? Yaani hamtaki watanzania tuongee masuala mengine zaidi ya kuwaonea huruma mlivyoshindwa kusimamisha wagombea kwenye baadhi ya maeneo na mkapata asilimia 0.09 kwenye uchaguzi nchi nzima?
Inasikitisha😀😀😀
Mnavyoshobokea ushoga mnadhani kila mwanaume kaolewaInakuondoa wewe na mumeo. Sisi wengine habari za uchaguzi zilishapita