Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa mabao 6-0 katika mchezo wa mkondo wa pili. Uliocheza jana Septemba 21, Visiwani Zanzibar