Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Tunaishi kwa kutaka sifa muda wote sifa mbaya sanaKwakweli Yanga akipangwa kundi moja na Mamelod itakuwa poa sana japo inawezekana ikawa sare sare mechi zote au kila timu moja ikashinda nyumbani
Kisasi ni HAKI YETU.Hapo kachungulia kaona kuna Al Ahly, Esperance na Mazembe, kwa nini usiombee Mamelodi?
Inategemea unatumia maandiko gani. Maandiko mengine yanasema "Kisasi ni juu yangu. Mimi nitalipa, asema Bwana".Kisasi ni HAKI YETU.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yanga ya sasa sio timu ya kupigia ramli au sio timu ya bahati nasibu, wamekamilika na wanajibeba wao wenyewe, kwaiyo unapoongea uwe tiyali kuendelea kupata maumivu day to day ilimradi isije tu ukajinyonga!Inategemea unatumia maandiko gani. Maandiko mengine yanasema "Kisasi ni juu yangu. Mimi nitalipa, asema Bwana".
Ngoja muishie kupata kapoint kamoja ambako mmeshajipa, sijui mtaficha wapi sura zenu.
Wameanza kumdhihaki na MunguMsemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa mabao 6-0 katika mchezo wa mkondo wa pili. Uliocheza jana Septemba 21, Visiwani Zanzibar
mamelodi ile chini ya yule kocha mhuni ilikua hamna timu. hii ya sasa chini ya kocha wao mpya imebadilika vibaya mno.Huku ni kulewa sifa , hamna timu ya kuifunga mamelodi nyie. Mamelodi siyo timu ya wale wakimbizi wa Burundi wala timu ya wanachuo wa Ethiopia.
Hicho kikundi chenu cha vibabu siyo cha kuomba kikutane na mamelodi.
Kumhusisha Allah kwenye mambo ya kipuuzi ni matumizi mabaya ya imani ya Kiislam.Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa mabao 6-0 katika mchezo wa mkondo wa pili. Uliocheza jana Septemba 21, Visiwani Zanzibar
Hakuna timu Yanga inaweza kuihofia.Hapo kachungulia kaona kuna Al Ahly, Esperance na Mazembe, kwa nini usiombee Mamelodi?
Ngoja mpangiwe Mamelodi, MC Alger na Al Hilal. Nitacheka saaana.
Yanga ya sasa sio timu ya kupigia ramli au sio timu ya bahati nasibu, wamekamilika na wanajibeba wao wenyewe, kwaiyo unapoongea uwe tiyali kuendelea kupata maumivu day to day ilimradi isije tu ukajinyonga!
Msipojifunza kuuheshimu mpira mtaendelea kukwama. Naomba niishie hapo kwa Leo.Hakuna timu Yanga inaweza kuihofia.
Si kutawakanda tu.Msipojifunza kuuheshimu mpira mtaendelea kukwama. Naomba niishie hapo kwa Leo.