Ally Kamwe: Lolote kuhusu usajili wa Yanga nipigiwe simu mimi

Ally Kamwe: Lolote kuhusu usajili wa Yanga nipigiwe simu mimi

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
"Niwaombe tu Baadhi ya vijana wenzangu ambao ni Waandishi wa Habari .. Mtu anapokupa stori Yoyote kuhusu yangasc.. Ni Vyema Ukanipigia kwanza ili UBALANCE kisha ndio uandike

Kilichotokea Leo kwa PRINCE DUBE kimewadhililisha sana... Na inaweza kusababisha Jamii isiwaamini Tena mnapoandika Habari zenu

Msikubali Kutumika na MATAPELI WA MPIRA kubeba Propaganda Chafu ili wapoze Hasira za watu wao wanaowaongoza..

Sioni kama watafanikiwa, Mashabiki wao wameshajua UTAPELI na UONGO wote unaoendelea kwenye Klabu Yao. Sioni kama wana Ajenda ya kuwatuliza hao watu zaidi ya wao KUWAJIBIKA

Waachieni Msiba wao, Lindeni Heshima na Imani mlioijenga kwa Jamii. USIKUBALI KUBEBA UPUUZI.

Hili la Dube liwe Funzo.

Mwenyekiti wa Wasemaji Ali Mwana wa Zimbwe"

Ameandika Meneja wa habari na mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe kupitia ukurasa wake wa Instagram.
 
Back
Top Bottom