Ninachokijua mpo nae sasa hivi kama shabiki mwenzenu na muhamasishaji wenu.Alichukuliwa na GSM sio Yanga.
Na tajiri hanuniwi, tumeyaona haya hata kwa Madunduka na mlio wao wa ng'ombe.
Hata utambulisho aliofanyiwa alifanyiwa kama mfanyakazi wa Yanga sio Gsm.
Yote kwa yote aliyoongea kuhusu nyinyi mnaonesha mlikubaliana nae ndio maana mkampokea.