M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 871 Reaction score 1,475 May 28, 2023 #21 makwega7 said: Alichukuliwa na GSM sio Yanga. Na tajiri hanuniwi, tumeyaona haya hata kwa Madunduka na mlio wao wa ng'ombe. Click to expand... Ninachokijua mpo nae sasa hivi kama shabiki mwenzenu na muhamasishaji wenu. Hata utambulisho aliofanyiwa alifanyiwa kama mfanyakazi wa Yanga sio Gsm. Yote kwa yote aliyoongea kuhusu nyinyi mnaonesha mlikubaliana nae ndio maana mkampokea.
makwega7 said: Alichukuliwa na GSM sio Yanga. Na tajiri hanuniwi, tumeyaona haya hata kwa Madunduka na mlio wao wa ng'ombe. Click to expand... Ninachokijua mpo nae sasa hivi kama shabiki mwenzenu na muhamasishaji wenu. Hata utambulisho aliofanyiwa alifanyiwa kama mfanyakazi wa Yanga sio Gsm. Yote kwa yote aliyoongea kuhusu nyinyi mnaonesha mlikubaliana nae ndio maana mkampokea.
El khelafi JF-Expert Member Joined Apr 17, 2023 Posts 211 Reaction score 493 May 28, 2023 #22 Bushmaster said: Simba na Yanga kutaniana tania ni jadi,wala sio serious issue ni kutaniana tu,haimaaniishi chochote, Click to expand... Utani una limits zake huwezi ukamtukana baba yako alaf unasema n utan, utan gan huoo au uwe na utan na MTU AF akushike makalio ndio utajua n utan gan huo
Bushmaster said: Simba na Yanga kutaniana tania ni jadi,wala sio serious issue ni kutaniana tu,haimaaniishi chochote, Click to expand... Utani una limits zake huwezi ukamtukana baba yako alaf unasema n utan, utan gan huoo au uwe na utan na MTU AF akushike makalio ndio utajua n utan gan huo