Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nayo threadNasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
Kwanini nyie jamaa mnaamini sana ushirikina? Ninyi hata mkimuona kamanda Jumanne Murilo au Mwana FA huwa mawazo yenu yote huenda kwenye ushirikina. Mkienda uwanjani badala ya kufuatilia burudani ya mpira, ninyi muda wote mnaangaza macho huku na kule kutafuta njowa weusi na weupe watakaopita ili muwahusisishe na ushirikina.Nasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
Mnawazaga uchawi tu... Mchukueni Mayele, atawafaa sana siku hivi....Nasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
Kuamini ushirikina ni ugonjwa MjubaNasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
unapowaza kwa kutumia makalio haya ndio matokeo yakeNasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
Hahahahaha..mkuu ulidhani natania ?Tresor Mandala umesema kweli kuhusu hawa watu
Pamoja na Mayele?Hahahahaha..mkuu ulidhani natania ?
Ulisemaje mkuu maana kwa leo tu na bado ni asubuhi huyu Jamaa ni uzi wake wa 20 au 30?Hahahahaha..mkuu ulidhani natania ?
Wachawi banaa..!! Kila kitu wanawaza kishirikina tu..!!! Ndo maana mlipigwa faini kwa Madiba..!!Nasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
Mods mnatukosea Sana kuacha threads za uzushi na uchochezi kama hii kuexist.Nasikia umezimia, pole sana, watu walikuwa wanatafuta ushindi ndugu yangu na ww ndio ulikuwa mwenye nyota ya ushindi.
Siyo wote, ni waafrika waliopo MBUMBUMBU FCWaafrika hatuna kitu tunawaza