Ally Kamwe na Ahmed Ally wanashine UTV, Manara byebye

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Nimefurahi kuona hawa vijana wawili ambao wameaminiwa kuwa wasemaji wa club kubwa kama Simba na Yanga wapo pamoja Studio na kipindi cha zogo mchongo kinaendeshwa vizuri.

Sasa pata picha hapo angekuwepo yule mjuwaji mzungu pori angetaka yeye aonekane ndio bora na ujuwaji mwingi na hii show angeharibu.

Hongera kizazi kipya Ally Kamwe na Ahmed Ally, húyu Manara tunamkàribisha aje Jumuiya ya Wazazi CCM.
 
😂😂
 
Aisee.....Yanga mmefikia hatua hiyo aisee?....mmesahau mema aliyowatendea huyo jamaa?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
kumbe hii thread umemwandikia baba ako au huyo ukiemlenga siungemtumia sms mkajadili wawili huko huko
Nafikiri unataka kupigwa mashine wewe mtoto, my parents ni out of this, my Father is in heaven usirudie tena huu usenge.
 
Hii Mpaka leo bado ímewavuruga akili wanaílazimisha furaha kupitia Tabora.
 
Mzungu pori ni chawa anaejiweka meza moja na matajiri wake ndo kinacho mponza , alimuita yule msemaji Vitalo ofisi kwake akamwambia kuwa nitaongea na Hersi akutafutie hotel uendelee kubaki Tz, yani anaongea kama vile yeye ndo mkurugenzi na Hersi ni meneja wake kwamba anaweza kumpa maendekezo yoyote , haikupita muda Hersi akasema jamaa ni mwanachama tu wa kawaida, Mzungu pori kamnunia Hersi hadi leo
 

Mashoga fc
 
Aisee.....Yanga mmefikia hatua hiyo aisee?....mmesahau mema aliyowatendea huyo jamaa?
Haji Manara hajaifanyia lolote la maana Yanga sana sana ameiletea fedheha kwa kuwakuwadia wachezaji wake nyota mademu na kuwafundisha kuvuta shisha hadi kuathiri viwango vyao. Siku ya Mwananchi aliwakera sana wanayanga kwa kuingiza mbwembwe za kijinga na kuvuruga ratiba kwa nia ya kujijenga yeye binafsi. Huyu abakie tu kuwa mwanachama na shabiki wa Yanga japo akilewa anaiponda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…