Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nimefurahi kuona hawa vijana wawili ambao wameaminiwa kuwa wasemaji wa club kubwa kama Simba na Yanga wapo pamoja Studio na kipindi cha zogo mchongo kinaendeshwa vizuri.
Sasa pata picha hapo angekuwepo yule mjuwaji mzungu pori angetaka yeye aonekane ndio bora na ujuwaji mwingi na hii show angeharibu.
Hongera kizazi kipya Ally Kamwe na Ahmed Ally, húyu Manara tunamkàribisha aje Jumuiya ya Wazazi CCM.