Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Karudie tena kusoma mada labda utaambua kitu.Anawakosea washambuliaji waliopo kwani mwanengo si mshambuliaji,guba,okelo,pacome na viungo washambuliaji waliopo hawatoshi?
Ko wewe alichokisema Ali kamwe umemuelewa vizuri?msemaji badala awatie moyo na hamasa zaidi washambuliaji waliopo na ili watoe uwezo wao wote kutikiza majukumu Yao bado anawaona hawatoshi kwani walisajiliwa kuja kufanyeje.Huu ndo muda wa wachezaji wengine ambao walikua hawapati namba kumuonesha mwalimu kwamba wanaweza.Karudie tena kusoma mada labda utaambua kitu.
Yeye amesema timu kwa sasa haina mshambuliaji asili yani namba 9, ila wewe umeelewa amesema timu haina washambuliaji!!.Ko wewe alichokisema Ali kamwe umemuelewa vizuri?msemaji badala awatie moyo na hamasa zaidi washambuliaji waliopo na ili watoe uwezo wao wote kutikiza majukumu Yao bado anawaona hawatoshi kwani walisajiliwa kuja kufanyeje.Huu ndo muda wa wachezaji wengine ambao walikua hawapati namba kumuonesha mwalimu kwamba wanaweza.