Ally Kamwe: Simba inaenda kukata moto

Ally Kamwe: Simba inaenda kukata moto

Kapumbavu haka katoto,kwani kila kakiwa mbele ya mic ni kuizungumzia Simba
 
Kapumbavu haka katoto,kwani kila kakiwa mbele ya mic ni kuizungumzia Simba
Lakini wote wanazingumziana, hata msemaji wa Simba yaleyale, na bila kupeana maneno mpira haunogi Kwa hapa TZ. Si unaona tunavyoshiriki kutoa hoja [emoji23]
 
Hello nashindwa kuweka profile picture kwenye ajira portal, kila nikiselect picture ina load tu haiji kwenye boksi husika ili niweze kusave.
Nifanyeje hapo wakuu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo umekosea Uzi ila acha nikusaidie


Tumia PC kama unayo

Kama hauna tumia chrom browser kuingilia ajira portal
 
“Nimesikia maneno maneno yameanza, sijui Kombe dogo, sijui vipi, sisi ambao tumesoma sana Dini hiyo ni ishara ya mwanadamu anayeelekea Sakaratul Maut, yaani mwanadamu anaelekea kwenye siku zake za mwisho, Pumzi yake ya mwisho.

“Tukawatazama tukasema hee mashindano haya si ndio mlichoma uwanja nyie, mashindano haya yaliwapa goli bora wakalala wiki nzima wanalizungumzia tukasema hii dalili ya Sakaratul Maut.

“Kila mtu amalize shughuli aliyoianza walianza shughuli yao na Mwarabu wamalizane nao, tumeanza na Mnigeria tutamalizana nao tusizungumziane.

“Kombe dogo sijui kubwa ni la kwetu, kila mtu acheze Kombe lake, hili Kombe la Shirikisho ni la kwetu na tutalibeba,”
Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

#WasafiSports

NB: Wanasimba tuloge sana siku isifike coz ...tukitaka tutapigwa ....tusipotaka tutapigwa[emoji23]View attachment 2599322
Haka kajamaa kama vinasaba vya kichokoo
 
Back
Top Bottom