Ally Kamwe: Simba inaenda kukata moto

Kumbuka alikuwa mchambuzi bingwa kabla ya kuwa officer habar
Bingwa? Ukimlinganisha na nani? Bongo ukiangalia mpira ushakuwa MCHAMBUZI nguli.
Nenda ESPN au SKY SPORTS nioneshe MCHAMBUZI ambaye hajacheza MPIRA
 
Nacheka sana nikisoma comment simba na yanga endeleeni kutupa furaha😁😁
 
Hello nashindwa kuweka profile picture kwenye ajira portal, kila nikiselect picture ina load tu haiji kwenye boksi husika ili niweze kusave.
Nifanyeje hapo wakuu ?

Hujaweka Kwenye format sahihi

Make sure your passport size ipo kwa format waliyo recommend
 
Bingwa? Ukimlinganisha na nani? Bongo ukiangalia mpira ushakuwa MCHAMBUZI nguli.
Nenda ESPN au SKY SPORTS nioneshe MCHAMBUZI ambaye hajacheza MPIRA
Kamwe ni level kubwa ya kina ambangile .....mwl kashasha
 
Timu kubwa kam simba sc hazina mikakat na makombe ya mbuzi..so wala mihogo ndiyo level zenu hizo. Nitashangaa sana kam msipo beba kombe.
 
Ally Komwe.. kamwe hawezi kuwa na akili
 
Timu kubwa kam simba sc hazina mikakat na makombe ya mbuzi..so wala mihogo ndiyo level zenu hizo. Nitashangaa sana kam msipo beba kombe.
Kombe lazima lije mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…