Taarifa hii iwafikie wachezaji wote waliocheza mechi ile, kwamba muda wowote wenye timu yao akina Aziz Ki, Morrison na Feisal wanakuja kwenye kikosi cha kwanzaJamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi...
Ni uthibitisho kuwa huko Yanga wote ni mazezetaJamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo baada ya kukosekana Aziz, Morrison, Diara, Aucho na DJuma kwenye kikosi.
Ni kweli waliocheza ni wachezaji wa akiba? Kusema hivyo ni sawa kwa Yanga, wachezaji na mashabiki wa Yanga? Hayo ni mawazo yake au hata Benchi la Ufundi na Uongozi unaona hivyo?