Pre GE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kitu ninachompendea huyu ally kessy ni kuwa kwenye mambo ya muungano Huwa hamung'unyi maneno.Aliwahi kuwaambia ukweli wazanzibari kuwa wananufaika na muungano lakini watanganyika hatufaidiki chochote.mfano rais wa Sasa ni mzanzibari ambaye anauza hovyo Mali zetu za Tanganyika na kufadhili magenge ya kihalifu ya kuteka wapigania haki wa Tanganyika kama soka,kibao na wengine mamia Kwa mamia fullstop
 
Embu acha uongo na kumchafua Mheshimiwa Rais.hivi ni nani kama siyo watanzania Bara wanaofaidika na Elimu bure kabisa hadi kidato cha sita,ajira kwa vijana ,ujenzi wa barabara mbalimbali hapa Nchini,ujenzi wa SGR na kuzinduliwa kwa treni ya Umeme,ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kumaliza mgao wa umeme,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,Ruzuku ya ma Bilioni kwenye kilimo, kupandishwa kwa mishahara kwa watumishi wa umma hususani wa kima cha chini kwa 23% n.k.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo.

Amesema mbunge aliyepo kwa sasa ameshindwa kutekeleza miradi mbalimbali ambayo yeye alikuwa ameibuni kwa ajili ya wana Nkasi.

Itakumbukwa ya Kuwa Mbunge huyo wa Zamani aliyehudumu kwa vipindi vitatu alidondoshwa chini na Mwana Mama kutoka CHADEMA Aida Khenani aliyepata kura elfu 21,229 ,huku Ally Keissy kutoka CCM akipata kura Elfu 19,972.

Mbunge huyo pia anakumbukwa kwa kauli zake na matukio yake mbalimbali ikiwepo yale ya kutifuana kikauli na wabunge wa kutokea Zanzibar mpaka kufikia hatua ya kunusurika kupigwa ngumi . Lakini pia amewahi kuwa gumzo na kuleta mijadala mitaani mikali sana juu ya kutaka na kupendekeza kubadilisha katiba ili kumuongezea muda wa kuongoza na kutawala Rais.kwa kauli kuwa katiba siyo msaafu au Biblia.

Nini Maoni yako juu ya Nia ya Mheshimiwa Mstaafu wa Ubunge kutaka kurejea tena Bungeni.Una mshauri agombee au awaachie wengine kutoka CCM waje na mawazo mapya na nguvu mpya ili yeye abakie tu kama mshauri. Ni kwanini mtu akiingia bungeni hataki kukubali kukaa pembeni ili kupisha wengine kama ilivyo kwenye Urais. Bungeni kuna nini ndugu zanguni ambacho wengine hawataki kuwapa hata nafasi vijana ili wakapeleke mawazo yao huko.

Nauliza tu ndugu zanguni kwa lengo zuri tu.Hii hapa ni picha yake wakati huo akiwa BungeniView attachment 3114042

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Aitaje hiyo miradi aliyoibuni
 
Bubujikwa na machozi malizia kuweka number
 
Kwanini anauza ngorongoro ila haiuzi Zanzibar watu wajenge mahoteli?
Embu acha uongo na kumchafua Mheshimiwa Rais.hivi ni nani kama siyo watanzania Bara wanaofaidika na Elimu bure kabisa hadi kidato cha sita,ajira kwa vijana ,ujenzi wa barabara mbalimbali hapa Nchini,ujenzi wa SGR na kuzinduliwa kwa treni ya Umeme,ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kumaliza mgao wa umeme,ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya 300,Ruzuku ya ma Bilioni kwenye kilimo, kupandishwa kwa mishahara kwa watumishi wa umma hususani wa kima cha chini kwa 23% n.k.
 
Kama mnajuwa kuwa maendeleo ni hatua kwanini sasa huwa mnataka Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amalize kero zote kwa muda huu mfupi aliokaa madarakani?
Maendeleo ni hatua, lakini kama Rais anatakiwa awe na vipaumbele vyake hasa Sekta kuendesha gurudumu la maendeleo.

Ukikosa vipaumbele, utaonekana umefeli kwakuwa utakuwa unagusa Kila jambo kidogo kidogo

Wewe pia una ile ndoto niliyokueleza last time hasa 2040

Ili sisi Wazee tuendelee kukuimba, lazima ukisimama Mwaka 2040 uoneshe vipaumbele vya kukubeba na kuibeba Nchi
 
Hio mihula mitatu alifanya nn ? Mtumia tumbo tu huyo ? Na ww pia kichwa kimejaa funza
 
Mbona nyie Machadema yule Babu yenu Sugu amekuwa Mbunge Kwa miaka 10 hakuna Cha maana amefanya na anataka kugombea tena? 😁😁
Bahati mbaya nimefanya kazi Serikalini hadi nilipostaafu zaidi ya miaka 7 sasa, sikuwahi kudhani kwamba matatizo ya Wananchi yanaweza kumalizwa Kwa Siku Moja

Kuna boss wangu mmoja, aliwahi kuniambia miaka ile kwamba hivi unadhani Mwaka 1979 hakukuwa na Mainjinia wa Barabara?

Nikamwambia walikwepo

Je walimaliza kujenga barabara zote, nikamwambia hakuna.

Akasema maendeleo ni hatua, Fanya Kwa nafasi yako...utamaliza Utumishi wako na kuondoka kisha watakuja Mainjinia wengine.

Kwahiyo hata wewe ukiwa Rais wetu Mwaka 2030, hautaweza kumaliza matatizo yote ya Wananchi Kwa Siku moja.

Hayo huwa ni maneno ya Wanasiasa wakitaka kuchaguliwa tu
 
Back
Top Bottom