Muziki ni kipaji cha mwana wa adamu alichopewa na mwenyezi Mungu, hakika hamjakatazwa kuimba ila nyimbo hizo zina mantiki na maana mbele za Mungu na kwa jamii pia, ikiwa ipo tofauti yaani muziki wenye ala za kishetani basi haumpendezi Mungu,
Lazima ugundue kulikuwa na malaika huko mbinguni alikuwa anaimba na kusifu kwa Mungu naye alipewa jina la lusifa, lakini ilivyo tokea itilafu huko mbinguni lusifa akapewa jina la iblisi | shetani lakini inaonekana amewateka watu kupitia muziki.
Nasema kama muziki ni kipaji basi acha Ali kiba na wasanii wengine waendelee kuimba, kwa sababu ni njia moja wapo ya kujipatia kipato kupitia kazi hiyo ya uimbaji.