Ally Kiba acha muziki

Ally Kiba acha muziki

Ndugu yangu Ally Kiba nakushauli uache kupiga muziki. Hakika muziki ni kazi ya shetani. Kuna kazi nyingi za kufanya ambazo zinampendeza Mnyaazi, umaarufu huu wa duniani hautokufaa kesho akhera.
Muacheni kwan wakati akiingia kwe muziki alikuomba ushauri??

Haya tuma salamu kwa watu 2 afu utafute cha kuandika.
 
Ndugu yangu Ally Kiba nakushauli uache kupiga muziki. Hakika muziki ni kazi ya shetani. Kuna kazi nyingi za kufanya ambazo zinampendeza Mnyaazi, umaarufu huu wa duniani hautokufaa kesho akhera.
kwani huko akhera si kuna shufaa au?
 
Ana maana kubwa sana mtoa mada ila hamjamuelewa tu....mtamuelewa mmoja mmoja siku ambayo roho inaacha mwili.
 
Dunia iweke tuzo za wachukiaji, Bongo kuna watu wana vipaji
 
Back
Top Bottom