Ally Kiba acha muziki

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Ndugu yangu Ally Kiba nakushauli uache kupiga muziki. Hakika muziki ni kazi ya shetani. Kuna kazi nyingi za kufanya ambazo zinampendeza Mnyaazi, umaarufu huu wa duniani hautokufaa kesho akhera.
 
Ndugu yangu Ally Kiba nakushauli uache kupiga muziki.hakika muziki ni kazi ya shetani.Kuna kazi nyingi za kufanya ambazo zinampendeza Mnyaazi,Umaarufu huu wa duniani hautokufaa kesho akhera.anayejisikia kutukana atukane

Wewe nahisi kama utakuwa ni Mwanamke basi leo upo katika ' libido ' kali sana kwani unawashwawashwa kunakotukuka. Muda si mrefu umeanzisha uzi wa kumnanga / kumsema Diamond Platinum za nimekupa ' dozi ' yako na mara ghafla tena umeanzisha tena uzi wa kumsema / kumnanga Ali Kiba kwa maneno yanayokaribiana na yale uliyomwambia Mpinzani wake. Leo umekumbwa na nini Mkuu? Nikupe namba zao labda ili ' ujitongozeshe ' mubashara Kwao kuliko kututolea humu ' mapovu ' yako haya?
 
Wewe ndio ibirisi kabisa unasema alikiba aache mziki sabab ni kazi ya ahetani inamana wengine waendelee Na kazi ya shetani!!! Sema jamani watanzaia tuache anasa za mziki sio kumwangalia mtu mmoja alaf wewe umetumwa Na Karanga 9 sh 300
 
Hizi team hizi
Ikitokea Diamond akakuomba utampa wewe sio bure

Umemuona Ally Kiba tu?
 
Kwa nini Ali kiba tu ('nahisi mtoa mada ana maono.)
 
Ndugu yangu Ally Kiba nakushauli uache kupiga muziki. Hakika muziki ni kazi ya shetani. Kuna kazi nyingi za kufanya ambazo zinampendeza Mnyaazi, umaarufu huu wa duniani hautokufaa kesho akhera.
HIVI WEWE MDUNDO NGOMA SANA MBONA LEO UNAWASHWA HIVYO ALIYEKUAMBIA JF NI KANISA AU MSIKITI NI NANI! FUNGUA FORUM YAKO UANZE KUHUBIRI.JINA LAKO KWANZA NI LA KISHETANI, MAWAZO YAKO YOTE NI WIVU TU
 
Muziki ni kipaji cha mwana wa adamu alichopewa na mwenyezi Mungu, hakika hamjakatazwa kuimba ila nyimbo hizo zina mantiki na maana mbele za Mungu na kwa jamii pia, ikiwa ipo tofauti yaani muziki wenye ala za kishetani basi haumpendezi Mungu,

Lazima ugundue kulikuwa na malaika huko mbinguni alikuwa anaimba na kusifu kwa Mungu naye alipewa jina la lusifa, lakini ilivyo tokea itilafu huko mbinguni lusifa akapewa jina la iblisi | shetani lakini inaonekana amewateka watu kupitia muziki.

Nasema kama muziki ni kipaji basi acha Ali kiba na wasanii wengine waendelee kuimba, kwa sababu ni njia moja wapo ya kujipatia kipato kupitia kazi hiyo ya uimbaji.
 
Wewe ndio ibirisi kabisa unasema alikiba aache mziki sabab ni kazi ya ahetani inamana wengine waendelee Na kazi ya shetani!!! Sema jamani watanzaia tuache anasa za mziki sio kumwangalia mtu mmoja alaf wewe umetumwa Na Karanga 9 sh 300
Hahaaaa umenichekesha mkuu sijwahi kuhesabu hizo karanga japo nashangaa zinaisha mapema kumbe ziko9??
 
Hawa ndio wale waliomsakama Mzee Yusuph kuacha twaharabu, sasa kachapika wanamcheka.

Imba mziki kiba, la kesho haliumi mgongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…