Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

Ukikiona cha nini wenzako wanaumiza kichwa watakipataje!? Hata hivyo kama kuna mahakama ya kuwashkati mashabiki wake twende mkuu ukatufungulie kesi upate haki yako kabisaa kijiba chako kitulie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We una umri gani?mziki umeanza kufuatilia lini?hebu muulize huyo diamond akutajie watu waliomshika mkono kabla hajawa huyu unaemuona leo,nyie watoto mnatusumbua sana humu kila kukicha mnaleta utoto.
 
Haya yanaitwa mateso bila chuki..........Yani Kiba hakujui wala hajawahi kukuona lakini anakutesa mpaka unakosa usingizi...... Or may be its a psychology thing...Unahamisha stress zako sehemu fulani kukimbia ugumu wa maisha...May be
 
Hivi kwanini asiwe, belle 9,mrisho mpoto, dogo janja, madee, young d, nikki wa pili, tunda man, kassim mganga, y tony na wengine wengi ila iwe Alikiba tu??? Je huyu ndo hajui kuimba kuliko hao wengine wote au ni vice versa, mtu humchangii mchango wa kuingia studio, kufanya video ila unakuwa kihelehele km cha kwanza, alafu unakuta mleta mada ni mwanaume mwezie kabisa, nyie ndo mnafanya wanaume wa dar wanasemwa kwakuwa mna mambo ya kike kabisa
 
We una umri gani?mziki umeanza kufuatilia lini?hebu muulize huyo diamond akutajie watu waliomshika mkono kabla hajawa huyu unaemuona leo,nyie watoto mnatusumbua sana humu kila kukicha mnaleta utoto.
Aisee
 
Aisee
 
Mzee wakutelezea na kuiga from WCB nasikia na sisi tumeamua kutengeneza brand ya jina kwenye vitu tuna kofia za ufalme wa hewa tshirt ... nk. Haiwezekani adi watoto yamoto wanishide mfalme hewa!! Chibuuuu[emoji23][emoji23] mtamkubali tu lazima awaanzishie fursa mtelezee diamond buni fursa zaidi vijana wasife njaa mtaani maana hakuna namna [emoji23][emoji23] reserve aka wa mshtusho (surprise) sio vizur kushindana na wadogo zenu nyie simlikuepo adi one8 mbona mna behave kama upcoming [emoji23][emoji23][emoji23]chibudeee[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wewe mtoa uzi humjui kiba ww.. kiba kaanza kuimba na kushaini kabla ya mondi... sasa kat ya kiba na mondi nan anatembelea nyota ya mwenzio
 
Wewe mtoa uzi humjui kiba ww.. kiba kaanza kuimba na kushaini kabla ya mondi... sasa kat ya kiba na mondi nan anatembelea nyota ya mwenzio
Kuwahi ku shine sio tatizo ni kama leo hii umlinganishe mrisho ngasa na mbwana sammata
 
Kuwahi ku shine sio tatizo ni kama leo hii umlinganishe mrisho ngasa na mbwana sammata
Inaonesha n jinsi gan kiba almfundsha dogo mziki na hvo mwl kuendelea kubamba kulko mwanafunzi... kiufupi kiba anajua na anaweza mziki kulko uyo anaetoa nyimbo na kuchuja ndan ya wiki moja
 
Kiba utabaki kuwa mwalim.. na ata iweje na usome ad level gani mwalim wako n mwalim wako tu

 
Tatizo la hawa wakuu wanabisha kitu ambacho kiko wazi. Kiba huwez kimfananisha na uyu kkmziki. Kiba yuko juu, n mwalim, n mfalme wa mziki, hana papara wala mbwembwe kwny kazi
Mfalme anakaa kwao? Hayo ndo mafanikio?
Mwenzake kaanza juzi ana
Nyumba
Office
Na anamiliki lebal yake wcb
Tuzo zaidi ya 20 za kimataifa hadi mtv world wide bado grammy
 
Mfalme anakaa kwao? Hayo ndo mafanikio?
Mwenzake kaanza juzi ana
Nyumba
Office
Na anamiliki lebal yake wcb
Tuzo zaidi ya 20 za kimataifa hadi mtv world wide bado grammy
Kibongo bongo tunamwita mfalme uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…