Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

Mfalme anakaa kwao? Hayo ndo mafanikio?
Mwenzake kaanza juzi ana
Nyumba
Office
Na anamiliki lebal yake wcb
Tuzo zaidi ya 20 za kimataifa hadi mtv world wide bado grammy
Sisi hatuna shobo na ushamba wa kutangaza tangaza kila kitu tulchonancho...
 
Sisi hatuna shobo na ushamba wa kutangaza tangaza kila kitu tulchonancho...
Hivi kuwa na lebal au kishinda tuzo unatangaza? au vinajitangaza venyewe
Au umesahau alivyoshinda vituzo vya kili music alijitangaza kwa kupanda daladala wiki nzima
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mfalme wa kugombania hot pot na bi mkubwa
Haaha ha aah aah ha daaaah , haaaah aah hah hah daaaah mkuu umeua sana nimecheka kwa nguvu mpaka kila mtu kanigeukia ananishangaa
 
Hivi kuwa na lebal au kishinda tuzo unatangaza? au vinajitangaza venyewe
Au umesahau alivyoshinda vituzo vya kili music alijitangaza kwa kupanda daladala wiki nzima
Nasemea ulvosema et anakaa kwake, ss tunapga vtu vya son siyo tomato mkuu
 
Unoulivyo kuwa hujielewi hata kutofautisha kati ya endorsement deal na record lebal deal hujui
Ndo akili za team kiba hizi
Ha ha ha... mkali wao, mwalim wao, mjanja wao, mfalme wao, aise emu tulnganshe nyimbo ya mbagala na sindelela ipi inabamba zaidi? We ali noma... wafundshe mziki hawa wanaotoa nyimbo afu wiki moja hutaman tena kuisklza
 
Dai kasema tuwaambie dada zenu watoke kariakoo waende ulaya
 
Ha ha ha... mkali wao, mwalim wao, mjanja wao, mfalme wao, aise emu tulnganshe nyimbo ya mbagala na sindelela ipi inabamba zaidi? We ali noma... wafundshe mziki hawa wanaotoa nyimbo afu wiki moja hutaman tena kuisklza
Huna hoja ya msingi unarukaruka tu , wewe lete poinys za msingi unasema kiba ni mfalme amefanya kipi cha maana kwake na kwa bongo flava kama kielelezo kama mfalme
 
slim5@hatumaanishi hivyoo kwamba tunaangaza maisha ya mwanaume mwenzaka nikama vile kwenye siasa kila mtua alimchangua mti aliye muona anafaa sawa
 
Ali Kiba ni kijana mbunifu sana kwenye muziki. Cheki ubunifu wa hali ya juu kwenye huu wimbo wake

Huyu kibakuli dawa yake ina chemka jikoni mtindo wa kula jasho la mwanamme mwenzake itamtokea puani
 
Back
Top Bottom