Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Sisi hatuna shobo na ushamba wa kutangaza tangaza kila kitu tulchonancho...Mfalme anakaa kwao? Hayo ndo mafanikio?
Mwenzake kaanza juzi ana
Nyumba
Office
Na anamiliki lebal yake wcb
Tuzo zaidi ya 20 za kimataifa hadi mtv world wide bado grammy