Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589

Attachments

  • Screenshot_2017-08-22-08-03-05-1.png
    Screenshot_2017-08-22-08-03-05-1.png
    147.4 KB · Views: 120
King uchwara amshukuru mond leo tunamuongelea
Huyo mond wenu ndo amshukuru kiba maana ndo anachotaka kuongelewa na ule wimbo alotoa umedhihirisha kabisa anamchukia kiba, sasa swali kama huyo domo anamzidi kiba kila kitu kwann amchukie vile mbona kuna wasanii wengi wa kuwaimba?? Why kiba?? Na maskini ya Mungu kiba hanaga muda wa kujibizana na hapo tu yamemfika hapaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana ajibug ujinga leo imekuwaje, wenye team yake mnalamba matapishi yenu. Msipende kumaliza maneno muda Huwa unajieleza wenyewe.
 
Huyo mond wenu ndo amshukuru kiba maana ndo anachotaka kuongelewa na ule wimbo alotoa umedhihirisha kabisa anamchukia kiba, sasa swali kama huyo domo anamzidi kiba kila kitu kwann amchukie vile mbona kuna wasanii wengi wa kuwaimba?? Why kiba?? Na maskini ya Mungu kiba hanaga muda wa kujibizana na hapo tu yamemfika hapaa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo tusinge muongelea kibakuli bwana. Inabid alipie hii airtime
 
Siwashangai watu wa Kigoma ndo tabia yao kutopendana

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Back
Top Bottom