Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

Ally Kiba amjibu baba Abdul Naseeb

3846d054c571fc5d1b27fa514a1b870b.jpg
 
YANI BADALA ATUMIE FURSA ANABAKIA KUJIKINGISHA!

king yenyewe ya draft!
 
Kwa Umbea Huu, Tanzania Ya Viwanda Tutaishia Tu Kuisikia Kwa Nabii Magumashi Na Wainjilisti Wake, Lakini Kamwe Haitotoke. EMMANCIPATE URSELF FROM MENTAL SLAVERY, NONE BUT URSELF CAN FREE UR MIND [\B]


 
Kwani kadisiwa insta ama studio (wimbo)? kama studio nayeye azame studio alipize disi mbona kawaida tu hata mbere kina Remy Ma na Nicki wanadisiana sembuse yeye? Asijibu insta azame studio naye adis ndio tutamuelewa. au anaogopa maiki?
halafu huwa ana wadanganya mashabiki wake kuwa yeye ni mpole....kumbe ni mnafiki na ana gubu la ndani kwa ndani hahaha King Kiba leo kaongea.........
 
Ivi katajwa eeh! Au jiwe gizani kilamtu apambane na mziki wake.
Bila Diamond hampati kiki za ku release vijimbo vyenu maana kwa mwandiko wake huo kuna kajimbo ka kuishia kibaha kanakuja[emoji23][emoji23][emoji23] team stress am soreeeeee
Kwani nani kalianzisha?Shobo kaanzisha diamond!!!!Hata Kiba mwenyewe hajataja mtu!
 
YANI BADALA ATUMIE FURSA ANABAKIA KUJIKINGISHA!

king yenyewe ya draft!
U turn,sasa ni zamu ya mondi kutafuta kiki kwa king Kiba!
Wala Kiba alikuwa hana habari naye,kajishobokesha mwenyewe kumuimba!Sasa hapo utasema Kiba ndio mtafuta kiki?
Mondi ashafikia kiwango cha mwisho cha mziki!!!
 
Back
Top Bottom