Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Huyo mond wenu ndo amshukuru kiba maana ndo anachotaka kuongelewa na ule wimbo alotoa umedhihirisha kabisa anamchukia kiba, sasa swali kama huyo domo anamzidi kiba kila kitu kwann amchukie vile mbona kuna wasanii wengi wa kuwaimba?? Why kiba?? Na maskini ya Mungu kiba hanaga muda wa kujibizana na hapo tu yamemfika hapaaKing uchwara amshukuru mond leo tunamuongelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo tusinge muongelea kibakuli bwana. Inabid alipie hii airtimeHuyo mond wenu ndo amshukuru kiba maana ndo anachotaka kuongelewa na ule wimbo alotoa umedhihirisha kabisa anamchukia kiba, sasa swali kama huyo domo anamzidi kiba kila kitu kwann amchukie vile mbona kuna wasanii wengi wa kuwaimba?? Why kiba?? Na maskini ya Mungu kiba hanaga muda wa kujibizana na hapo tu yamemfika hapaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubali mkatae huyo domo wenu ndo anaemtafuta king wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo tusinge muongelea kibakuli bwana. Inabid alipie hii airtime
Namjua sana king hajibugi upuuziIme editiwa iyo si kweli Kiba hanaga ujinga huo ka post picha ila maneno hayo hayapo