Ndo maana king kamuuliza ashamtandikia malkia wake wa nguvu ili alale[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mond anaanza kulewa sifa natokea Iván kafarik kachanganyikiwa nazile mali had atak watoto wake anataka alee wawenzieNdo maana king kamuuliza ashamtandikia malkia wake wa nguvu ili alale[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi kaamua kufunga ndoa kabisa chezea pesa za kuhongwa ww Nina waswas na kifo cha Ivan (R. I. P)Mond anaanza kulewa sifa natokea Iván kafarik kachanganyikiwa nazile mali had atak watoto wake anataka alee wawenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho upo tu hata uwe nanHadi kaamua kufunga ndoa kabisa chezea pesa za kuhongwa ww Nina waswas na kifo cha Ivan (R. I. P)
Sent using Jamii Forums mobile app
kibakuli kichwa maji sana.Alikiba ni kichwa maji sana badala adondoshe wimbo muda huu amepewa support na Mond yeye ana kalia kujiita King utafikiri uking unaliwa ....
King Kiba badilika una wasononesha mashabiki wako....
Si ndo maana ya hili jukwaa mkuu
Kwa Umbea Huu, Tanzania Ya Viwanda Tutaishia Tu Kuisikia Kwa Nabii Magumashi Na Wainjilisti Wake, Lakini Kamwe Haitotoke. EMMANCIPATE URSELF FROM MENTAL SLAVERY, NONE BUT URSELF CAN FREE UR MIND [\B]
hahahahaha kweli kabisa maana tulimsahau....HATIMAYE!
angalau naye anaanzishiwa thread!
halafu huwa ana wadanganya mashabiki wake kuwa yeye ni mpole....kumbe ni mnafiki na ana gubu la ndani kwa ndani hahaha King Kiba leo kaongea.........Kwani kadisiwa insta ama studio (wimbo)? kama studio nayeye azame studio alipize disi mbona kawaida tu hata mbere kina Remy Ma na Nicki wanadisiana sembuse yeye? Asijibu insta azame studio naye adis ndio tutamuelewa. au anaogopa maiki?
Kwani nani kalianzisha?Shobo kaanzisha diamond!!!!Hata Kiba mwenyewe hajataja mtu!Ivi katajwa eeh! Au jiwe gizani kilamtu apambane na mziki wake.
Bila Diamond hampati kiki za ku release vijimbo vyenu maana kwa mwandiko wake huo kuna kajimbo ka kuishia kibaha kanakuja[emoji23][emoji23][emoji23] team stress am soreeeeee
Ime editiwa iyo si kweli Kiba hanaga ujinga huo ka post picha ila maneno hayo hayapo
pitia insta kuhsus kupewa kitanda
kajibu bhn kuhusu kupewa kitanda insta n twitterIme editiwa iyo si kweli Kiba hanaga ujinga huo ka post picha ila maneno hayo hayapo
U turn,sasa ni zamu ya mondi kutafuta kiki kwa king Kiba!YANI BADALA ATUMIE FURSA ANABAKIA KUJIKINGISHA!
king yenyewe ya draft!