Ally kiba apata ajali

ELIHURUMA

Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
28
Reaction score
1
Kijana kapata ajali maeneo ya mikumi morogoro, alipokuwa anatoka mbeya,kwenye shoo!forsure cjajua kaumia kiasi gan!ila ma info 2takuwa 2napeana humu,MUNGU AMPE NGUVU.
 
Hop atakuwa hajaumia! Mungu amtie nguvu
 
Pole Ally Kiba, hope hajaumia sana.
 
umesomeka! sababu ya ajali tujuzwe mapema tafadhali.
 
mhh pole Ali Kiba mzee wa mapenzi yanaran dunia
 
mhh pole Ali Kiba mzee wa mapenzi yanaran dunia
Mpenzi umenirusha usingizi hapa nilipo mkono upo kunako nanihii ni lini utarudi back to the topic pole ali kiba mzee wa cinderella
 
Mpenzi umenirusha usingizi hapa nilipo mkono upo kunako nanihii ni lini utarudi back to the topic pole ali kiba mzee wa cinderella
halafu weye mpenzi jini weye..unashikaje nanihii wakati mie niko,au lile shuzi unaniogopa sijambi tena lilitoka kwa bahati mbaya tu
 
halafu weye mpenzi jini weye..unashikaje nanihii wakati mie niko,au lile shuzi unaniogopa sijambi tena lilitoka kwa bahati mbaya tu
Naogopa yasije yakanikuta yaliyomkuta yule jamaa yetu kwa mwanamke wa kimanyema.
 
Naogopa yasije yakanikuta yaliyomkuta yule jamaa yetu kwa mwanamke wa kimanyema.
hahahahahhahah piga teke..mimi si mmanyema bwana,ila nimecheka sana kiukweli hujatulia weye
 
pole ally k, let me listen mapenzi yana run dunia for you
 
Pole sana..
Tunaombeni update kwa
Mwenye taarifa zaidi...

Santeeni
 
Pole jembe la ukweli, ila Mikumi jamani, Mikumi mara 5 ajali sasa AK naye Mikumi, kunani paleeeeee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…