eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,379 Sep 19, 2017 #1 Usije ukatuambia imevuja fanya iwe rasmi mi nimeikubali sana kwenye club itakuwa ni balaaa Attachments Patoranking+ft+Alikiba+%E2%80%93+Katika.mp4 Patoranking+ft+Alikiba+%E2%80%93+Katika.mp4 1.5 MB · Views: 39
Matungiza JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 523 Reaction score 335 Sep 19, 2017 #2 Hii mbovu sana, ni aibu kwa msanii wa kiwango chake. Kwanini anakosa consistency?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 20, 2017 #3 Ngoja tusubiri promotion yake
Kukaja Kununu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 1,077 Reaction score 1,208 Sep 20, 2017 #4 Hiyo sio nyimbo yake wala patoranking ni Mali ya coke studio....waliifanya kwasababu ya coke studio
simba songea JF-Expert Member Joined Feb 8, 2016 Posts 1,498 Reaction score 1,216 Sep 20, 2017 #5 Nyimbo mbaya sana