Ally Kiba kufunga Ndoa ya Kimya Kimya Mombasa

Kama wewe ulivyonitosa mama yeyoo!!! Umeniachia maumivu ya moyo.

Hii habari inaongelea mambo ya ndoa lakini picha imewekwa wanaume watupu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] picha ya wanaume si kiba yupo muhusika
 
Kuna uzi fulani ulimwonyesha Kiba amefunga ndoa na dada fulani hivi mrembo kwani ndo huyo wa Mombasa?
 
Kuna uzi fulani ulimwonyesha Kiba amefunga ndoa na dada fulani hivi mrembo kwani ndo huyo wa Mombasa?
Inawezekana lakini hii ndoa ni kesho
 
Sio Mzee wa kiki au ana watatu wengine wa kuvuta maana dini inamruhusu hivyo hao watatu watakaofuata nao watadai harusi kama ya mke mkubwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka umewaza mbali
 
Reactions: BAK
JOKATE AMEINGIA KWENYE SIASA, ALLY KIBA KESHAGUNDUA KUWA JOKATE CYO WAKE TENA.
 
Tatizo Jokate yupo busy na kampeni za ccm, Ally kiba siasa wapinawapi
Na hapo usikute jokate hataweza achana na kiba anabaki kuwa mchepuko tena
 
duuuhh aisee.....kweli hapa ndo unajua nani ni timamu na nani ni punguani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…