Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndo utajua muda sio kipimo cha upendoNdio uone wanaume jaman mnaweza kuwa kwenye mahusiano miaka na miaka akaja kuolewa mwingine hata miezi 6 hawajafika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] picha ya wanaume si kiba yupo muhusika
Tatizo lipo kwenu wadadaNdio uone wanaume jaman mnaweza kuwa kwenye mahusiano miaka na miaka akaja kuolewa mwingine hata miezi 6 hawajafika
Si unajua kiba sio mzee wa kiki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka umewaza mbali
Tatizo Jokate yupo busy na kampeni za ccm, Ally kiba siasa wapinawapiMasikini jokate wa watu
Yaa kama Diamond na WemaNa hapo usikute jokate hataweza achana na kiba anabaki kuwa mchepuko tena
Sanchoka ni habari nyingine, akitaka kuolewa ni siku moja tuKina sanchi watuburudishe tu insta