Ally Kiba kufunga Ndoa ya Kimya Kimya Mombasa

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
154,929
Reaction score
459,607
Kumekuwa na tetesi kadhaa zinazomuhusisha Mbongofleva Alikiba kufunga ndoa ya kimya kimya nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye website ya Ghafla, Alikiba anatarajia kufunga ndoa na mwanamke anayefahamika Kwa jina la Amina Ijumaa ya wiki hii (Machi 2). Harusi hiyo inatarajiwa kufanyika Pande za Mombasa huku ikihudhuliwa na watu wa karibu tu.

Hii inakuwa mara ya kwanza kwa staa huyo wa Seduce Me kufunga ndoa rasmi licha ya kuwa na watoto watatu kutoka kwa mama tofauti.
Harusi yake itahudhuliwa pia na wanasiasa wakubwa wa Kenya akiwemo Hassan Joho ambae ni mshikaji wake wa karibu.
lilOmmy.com itafuatilia kwa karibu kinachoonekana kuwa trend na tutarudi na taarifa za uhakika baada ya kuthibitisha kinachozungumziwa.

[HASHTAG]#source[/HASHTAG] liliommy

Ila wanaume nyie kwahiyo jokate ndio basi tena pole sana jokate wanaume konyooooo
5049c50dba54f88d73d3f1ce075aa32d.jpg
 
hongera ..bora tu aache uzinifu mana amesha terekeza wengi..
 
Jomoniií Nilikuwa nasubr arudiane na Joketi

Kale kaAmina cyo kazuri kama kidoti buanaa
alf mahusiano yao ya muda mfupi ivo ,uyo mkenya kampa nn Kiba hadi amuoe haraka ivo
Au tayari anakibendi?
 
Ndio uone wanaume jaman mnaweza kuwa kwenye mahusiano miaka na miaka akaja kuolewa mwingine hata miezi 6 hawajafika
 
Mh!

Kumekuwa na tetesi kadhaa zinazomuhusisha Mbongofleva Alikiba kufunga ndoa ya kimya kimya nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye website ya Ghafla, Alikiba anatarajia kufunga ndoa na mwanamke anayefahamika Kwa jina la Amina Ijumaa ya wiki hii (Machi 2). Harusi hiyo inatarajiwa kufanyika Pande za Mombasa huku ikihudhuliwa na watu wa karibu tu.

Hii inakuwa mara ya kwanza kwa staa huyo wa Seduce Me kufunga ndoa rasmi licha ya kuwa na watoto watatu kutoka kwa mama tofauti.
Harusi yake itahudhuliwa pia na wanasiasa wakubwa wa Kenya akiwemo Hassan Joho ambae ni mshikaji wake wa karibu.
lilOmmy.com itafuatilia kwa karibu kinachoonekana kuwa trend na tutarudi na taarifa za uhakika baada ya kuthibitisha kinachozungumziwa.

[HASHTAG]#source[/HASHTAG] liliommy

Ila wanaume nyie kwahiyo jokate ndio basi tena pole sana jokate wanaume konyooooo
5049c50dba54f88d73d3f1ce075aa32d.jpg
 
Kimyakimya anaoa au anaolewa? Maana Mombasa huko, hoo.
 
Ndio uone wanaume jaman mnaweza kuwa kwenye mahusiano miaka na miaka akaja kuolewa mwingine hata miezi 6 hawajafika

Kama wewe ulivyonitosa mama yeyoo!!! Umeniachia maumivu ya moyo.

Hii habari inaongelea mambo ya ndoa lakini picha imewekwa wanaume watupu...
 
Back
Top Bottom