Ally Kiba: Nalipwa Mil 8 kwa show za Bongo, na Mil 12 kwa show za nje ya Afrika

Ally Kiba: Nalipwa Mil 8 kwa show za Bongo, na Mil 12 kwa show za nje ya Afrika

cape town

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
40
Reaction score
42
Vyanzo vya habari; XXL ya Clouds FM na www.bongo123.com. Mwanamuzik wa kizaz kipya Ally Kiba ameweka wazi malipo anayolipwa kwa show moja ya hapa bongo na pia kwa show moja ya nje ya Afrika.

Akilonga katka kipind cha XXL kinachoongozwa na B Dozen na badaye katka mahojiano na www.bongo123.com, mwanamuziki huyo amesema analipwa sh Mil 8 kwa kila show anayofanya hapa bongo na kutoa ushahd kuwa waulzwe global publishers walimlipa kias gan ktk show aliyoifanya cku ya Eid pala Dar Live, na pia analipwa pesa zipatazo Mil 12 kwa kila show anayofanya Ulaya na America ambazo amedai show hzo ni nyng mno. Amedai kuanzia mwez ujao wa 9 mpaka wa 12 ana booking ya show 8 za Afrika Kusin na Ulaya.

Alipoulizwa ujazo wa akaunt zake benk, Ali Kiba amedai hawez kutaja ila zipo za kutosha na akaunt zmejaa vilivyo na kudai cku atakapotaja ujazo wa akaunt zake ataushtua umma wa waTZ kwa kuwa ameanza miaka 2 iliyopita kutoza pesa hzo na amepga show nyng nje kuliko wasanii wte ambazo amedai haztangaz kwny blog wala media kama wengne.
 
Vyanzo vya habari; XXL ya Clouds FM na www.bongo123.com. Mwanamuzik wa kizaz kipya Ally Kiba ameweka wazi malipo anayolipwa kwa show moja ya hapa bongo na pia kwa show moja ya nje ya Afrika. Akilonga katka kipind cha XXL kinachoongozwa na B Dozen na badaye katka mahojiano na www.bongo123.com, mwanamuziki huyo amesema analipwa sh Mil 8 kwa kila show anayofanya hapa bongo na kutoa ushahd kuwa waulzwe global publishers walimlipa kias gan ktk show aliyoifanya cku ya Eid pala Dar Live, na pia analipwa pesa zipatazo Mil 12 kwa kila show anayofanya Ulaya na America ambazo amedai show hzo ni nyng mno. Amedai kuanzia mwez ujao wa 9 mpaka wa 12 ana booking ya show 8 za Afrika Kusin na Ulaya. Alipoulizwa ujazo wa akaunt zake benk, Ali Kiba amedai hawez kutaja ila zipo za kutosha na akaunt zmejaa vilivyo na kudai cku atakapotaja ujazo wa akaunt zake ataushtua umma wa waTZ kwa kuwa ameanza miaka 2 iliyopita kutoza pesa hzo na amepga show nyng nje kuliko wasanii wte ambazo amedai haztangaz kwny blog wala media kama wengne

Na za kuwa Punda wa Dobi humo humo?
 
ila kiukwel allykiba anapga show nyng sana za nje ila hajitangaz ovyo,
 
  • Thanks
Reactions: amu
me niwashauri tu nyie wasanii na wacheza soka, kiukweli mnapata fedha nyingi kwa sasa, jitahidini kuwekeza na kuweka akiba ikizingatiwa kuwa wengi wenu hamna elimu na hamuajiriki na fedha zenu ni za msimu.
 
Ivi hawa jamaa wanalipa kodi kweli ..tra mpo? ..imagine kodi ya mshahara kima cha chin imerejeshwa then hawa na milion zao wasilipe ..wenzetu kule marekani (irs) wako very serious msanii kukwepa inakua ngumu
 
Mfyuuuu.. kwa show hizi hizi za kina ruge .. Atie maji na yeye tayari kunyolewa ( kuchunguzwa). ..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mmmmmh hv ile kitu ya kukutwa akinaniliwa na bodyguard wake home kwao iliishia wapi??....manake kama ni mashart ya mganga basi aliumizwa bureeee maskini, hatumsikii popote...:yield:
 
Back
Top Bottom