Ally Kiba, naomba ni-direct video ya Chekecha Chekechua

Ally Kiba, naomba ni-direct video ya Chekecha Chekechua

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
382
Reaction score
119
Habari wajameni kwa mara ya kwanza kama Mtanzania niliekerwa na wabongo kufanya video nje ya nchi South Ulaya na America. Naomba mimi mfalme Simba ni direct video ya wimbo huu wa Chekecha Chekechua wa Ally Kiba na sisi JamiiForums tujivunie zao letu.

Nawasilisha.

Ani-PM tu nimpe vitu.
 
Alikiba naye yupo JF?? Mfate kwenye ukurasa wake Instagram
 
Issue sio ku-direct ndugu, je una zana za kutengeneza classic video? Ningekuelewa ungesema kokote atakoenda kutengeneza hiyo video, wewe ndo ukawe director; kwamba let's assume anawalipa Godfather kama production company lakini wewe ndo una-play part kama director lakini kwa hizi kamera zenu za mwaka 47, nikutafutie dogo mmoja anaitwa Mtalii wa Kitaa... anatisha!
 
habari wajameni kwa mala ya kwanza kama mtanzania nilie kelwa na wabongo kufanya video nnje ya nchi south ulaya na amerca naomba mimi mfalme simba ni direct video ya wimbo huu wa chekecha chekechua wa ally kiba na sisi jamii forums tujivunie zao letu.

nawasilisha......ani pm tu nimpe vitu.
Kingsimba una tatizo kubwa la lugha hasa kwenye mpangilio wa maneno, kuchanganya herufi na sarufi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom