Jamaa ni shabiki tu..read between the lines
Duuu kazi kweli kweli!
Mashabiki tuna michango sana kwenye kuanguka kwa wasanii wetu!
Huyu jamaa katoa analysis nzuri sana na tusipende sana thread za kusifia wasanii wetu hizi zinazo wakosoa ndizo nzuri na zina jenga zaidi!
Ndio maana kuna watu husema tumepewa masikio mawili na mdomo mmoja ili tusikilize sana kuliko kuongea!
Kina fulani wakiona hivii wanatamani ardhi ifunike mbingu lakini haiwezekaniii
Nilivyoona li-Siredi lilefu nikataka niachane nalo ila nimelisoma lote na nimetamani lisiishe mkuu MR. CONFIDENT big up sana kwa somo lililokwenda Shule Moderator hebu unganisha Siredi zote za Diamond na Alikiba kwenye hii Siredi
Daaa hahahaha mna vituko nyie ..heti mwisho wake leaders..
They both make average money, trust me..
Takwimu mpaka sasa diamondo baada ya fiesta kafanya show tano mfululizo ali kiba baada ya fiesta kafanya show moja tu
diamond
fiesta kigoma
mliman city siku ya msanii
coco beach show ya coca cola
ana show iliyosainiwa ya rwand
ana show iliyosainiwa ya usa
ali kiba
show ya fiesta kigoma
Umezungumza vizuri. Lakini unapaswa ufahamu Ally Kiba ni miongoni mwa wasanii anayependwa zaidi kwa nyakati zote, ndio maana mashabiki wamemrudisha na kumpa sapoti... Si kwamba hapakuwahi kuwa na wasanii wazuri hapo kabla, Belle 9 Marlaw na wengineo kama ulivyowattaja ni wasanii wazuri haswa ila for some unknown reasons unajua kinachoendelea.
BTW, Me nadhani Hakuna ''tatizo'' kwenye kila nilichokiandika, Maana sikuweka mahaba kwa upande mmoja, nimeeleza Accordingly..... Kama wewe ni shabiki wa Diamond, that's fine, hakuna shida... Maana hata Kiba amenukuliwa mara kadhaa akimsifia na kuthamini mchango wa Diamond kwenye Muziki wao kwa sasa... Nashangaa hii ''inferiority'' unayionyesha hapa unaitoa wapi..