Oh, I'm glad you're back here again!
Ni hivi, Kila nilichokiandika, nilijiweka kati, sikuwa biased, nimeandika kwa kadri mambo yalivyo.. Hebu chukua muda kidogo usome ukiwa ''neutral-minded'', utaelewa tu!
Na kuhusu kufanya research...cumoooon....Are u serious? Yaani vitu vingine ni ukifanya Observation tu vinajieleza, sasa hiyo research ya kwenda mikoani is a waste...
Nakushauri, SOMA UPYA, Ikiwezekana Neno kwa Neno, and dont just read between the lines.......
Mh mh mh watu wa dar mnachekesha sana, observation ipi ulioiona wewe ,ya kwenye fiesta? Hizo ni porojo tu,
Kuwa fananisha huyu ni ronaldo na huyu messi tayari uko biase kwa sababu hata kwenye mpira hatuamini kama messi ni mchezaji bora kuliko ronaldo ila anabebwa na fifa na mfumo uliopo kwenye timu yake.
Fikiria unajadili na mtu wa namna gani niko free na sipendelei mtu yoyote ila sikubaliani na jinsi ulivyoanza na hoja yako ,tayari ipo kishabiki.
Naomba ujibu kihoja maana sina andiko nisilofikiria
