Ally Kiba, ni mhujumu uchumi au ni mshirikina?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wasalaam,
Ama baada ya Salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa, hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu.

Dhumuni ya waraka huu ni kutaka kujua je ni uhujumu uchumi au ni ushirikina unaosababisha huyu King Kiba awe hivi?

Nasikia ana utajiri Mkubwa sana kuliko msanii yoyote Tanzania lakini hataki ajulikane.

Je, hii ni mbinu ya kukwepa kodi, kitu ambacho ni uhujumu uchumi, au ni ushirikina kwamba ni masharti aliyopewa na mafundi wake ili aendelee kubaki kileleni?
 
Wanasiasa wana pesa nyingi sana lakini wametengeneza mfumo wa kutokujulikana kisheria ili waendelee kupiga hela.
Kiba muache kama anazo sio kosa wacha ale nchi
 
Binadamu wengi hawapendi kuona wezao wakipata maendeleo ya kimaisha
mara watasema alifanya hivi, wengine watadai kuwa alifanya vileee

mradi waharibu jina lake na sifa zake

binadamu ee tupendane

(nitakaza moyo hapa duniani niwashinde wafitini

oooo mola nilinde oooo nisaidie ×2)
 
Mtoa posti ni mtu mwenye fitina namba moja, ulitaka ali kiba agange njaa wakati anaelekea kutimiza miaka ishirini kwenye game la muziki soon.

Angefulia mngemcheka, kafanikiwa mnamzushia, angekuwa mtu wa mapicha picha mngemuona mjivuni, mnataka nini binadamu!!!!
 
Si tulisikia kuwa kainunua Coastal Union, je habari hizo ni za kweli? Je alilipa kodi?
 
Isiwe ujio wa singo mpya tu maana si kwa promo hii
 
Binafsi, mtu yeyote anayeishi maisha ya chini wakati kipato chake ni kikubwa, MTU HUYO NAMTAZAMA KAMA MCHAWI TU
 
Mkuu tambua nguvu ya kipaji, siyo sawa na ajira yako yenye mabulunguti ya makaratasi na masharti ndani yake. Plan mapema utafika tofauti na hapo endelea kuwatengenezea majina.
 

mchawi huyu jamaa

Ali K is a King

atabaki kuwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…