Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wasalaam,
Ama baada ya Salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa, hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni ya waraka huu ni kutaka kujua je ni uhujumu uchumi au ni ushirikina unaosababisha huyu King Kiba awe hivi?
Nasikia ana utajiri Mkubwa sana kuliko msanii yoyote Tanzania lakini hataki ajulikane.
Je, hii ni mbinu ya kukwepa kodi, kitu ambacho ni uhujumu uchumi, au ni ushirikina kwamba ni masharti aliyopewa na mafundi wake ili aendelee kubaki kileleni?