Ally Kiba, ni mhujumu uchumi au ni mshirikina?

Ally Kiba, ni mhujumu uchumi au ni mshirikina?

Binadamu wengi hawapendi kuona wezao wakipata maendeleo ya kimaisha
mara watasema alifanya hivi, wengine watadai kuwa alifanya vileee

mradi waharibu jina lake na sifa zake

binadamu ee tupendane

(nitakaza moyo hapa duniani niwashinde wafitini

oooo mola nilinde oooo nisaidie ×2)
Tunampenda sana na tunataka afanikiwe zaidi ila aweke bayana utajiri wake serikali iweze kukusanya kodi kutoka kwenye utajiri huo
 
Maneno tu kwa show zipi au miradi ipi aliyonayo? Nahisi hata kwa masanja haingii
 
Back
Top Bottom