Kamanda wangu Ali..mwanayanga mwenzangu..Bro Kelvin Yondani kaniambia umempigia simu kumpa hongera safi sana bro..lazma Simba wakae thisi time pamoja na yule Simba wao aliyepo kendwa Beach Zanzibar..mwanayanga mwenzangu umewasikia BASATA..Bro umewasikia..? bro umewasikia? nakwambia usikubali, Bro hawa watu watu wa serikali,, kweli siri kali..bro usikubali kabisa.usikubali!! yooo usikubali!!! eti wanasema wewe unabifu na Daimond, Daimond huyuhuyu aliyekuwa anaosha vyombo kwa mkata maono bobu junior..huyuhuyu ambaye ambaye alitaka eti mmshirikishe kwenye single boy ukamtosa ukasema anataka mteremko..huyu ambaye bila wewe kumwambia mkata maono yule jamaa mweupe kumsaini asinge wika leo.. bro usikubali!! bro wanataka kukushusha ..umesikia usikubali.
bro umewasikia basata eti wanasema unabifu na Daimond..eti wanataka kuwapatanisha..bro kuwapatanisha..bro kupatanishwa..bro usikubali.
Bro siumeona hata Wema alivyokugeuka..najua hujawahi kumpenda jokate hilo nalijua bro..siyo pigo zako ww Mwinyi mzee..upo ili upate attention na timu yake ya kudhania ikusaidie... endelea
Bro unajua wewe huna bidhaa ya kueleweka mtaani zaidi ya Bifu na Daimond..bro tokea uje ushafishe kiti chako bro kumbuka huna bidhaa mtaani ya kueleweka zaidi ya kuongelewa sana, kuandikwa sana kama navyofanya hata kufananishwa na Simba yule wa Tandale siyo simba wa Mavugo.. Bro mwanadaresalaam ilibamba mchangani(tanzania) labda na kenya.., chechetua hata kenya hawaijui.. lupela nadhani ilishia DAR NA kIBAHA...BUT NILIPENDA WALE MADEMU ULIKUWA NAO KWENYE LIFT..but wale tembo duu../
(Bro usikubali kupatanishwa na Daimond)
bro angalia hata ulizoshirikishwa humu ndani kama Nisamehe ya yule cheusi rafiki yake na stan bakora nayo imebuma haina trend ya kimataifa lakini Shinyanga Kahama kagongwa itafika but kenya No..averina itaishia mpwapwa tu..au samakisamaki ya Moro..ya huyu dmpoz kajiandae miye hata sijaelewa ..bro collabo inayokuweka mjini ile ya sauti sol ( siunajua hata Mtv base walikataa usiimbe Aje kwenye tuzo wakasema imba na wakenya (hii nimeambiwa nawatu wako wa karibu)
(Bro usikubali kupatanishwa na Daimond)
Bro kinacho kuweka Mjini siyo Yoo yako.. ni hako kabifu na Daimond.. bro bila bifu na Daimond bro utapotea..bro usikubali kupatanishwa na Diamond. bro wambie timu yako wapunguze matusi kuna jamaa mmjoa anaitwa shishiboy anakuharibia sana..
wambie wabishane kwa hoja..wakutetea sana..wamponde Daimond..
AllyKiba bila bifu na Daimond hata Jux,benpoll,Raymond watakupita...bro usikubali kupatanishwa na Daimond..// bro ivi unajua kuwa Ay, mwanafa, wasanii wakubwa sana lakini leo unaongelewa wewe tu..bro watu wanamsahau hadi yule msanii mwanaharakati Roma, watu hata nyimbo ya sumu ya Fid q hawafatalii..bro usikubali kupatanishwa
(Bro usikubali kupatanishwa na Daimond)
Bro leo nimekutana na mshikaji wako aliyekufungia Ac kariakoo mwaka juzi..
KESHO KANUSHA KWENYE MEDIA WAMBIE HUNA BIFU NA DIAMOND..alafu sema Babutale ndo kasema kwa mkuu wa mkoa kwamba eti wewe unabifu na daimond alafu kama kawa timu yako wamtolee mapovu Tale kama yule cheupe fundi mitambo..
bro hongera kwa kupata tuzo Mtvema awards..nzuri hii..! ila wizkid alistahili kiukweli mtu wangu..lakini hongera sana bro wangu
wote timu Kiba msikubali kibakuli apatane na Diamond ni kumzika allykiba..
japo wengine watasema miye nakuponda lakini nimekusaidia mtu wangu..seven hawez kukubali ujinga huu wa kupatanishwa na Daimond..kuna kipind Rihana wakati anaanza alipoimba umbrella alikuwa na bifu ya kutengeneza na Beyonce eti Beyonce anammaindi Rihhana anatembea na Jiga boy.. lakini kwa hatua aliyofika Rihanna kimziki anweza kuwa rafiki wa Beyonce.
bro this tyme imbia melody ya juu..alafu tafuta international artist wa ghana, nigeria, au south.. hawa wakina poz kwa poz wanakupotezea muda tu.
nataka Tanzania tuwe na wakina Daimond kama 20 ivi..!!
bro usikubali kupatanishwa na Daimond kwa sasa..
kiukweli miye nyimbo ambazo ninazozipenda from you bro ni mapenzi yanarun dunia na aje..! bro usikubali bro..usikubali bro..hata kuimba na Diamond usikubali bro
by Timu Tanzania