Ally Kiba usikubali mshikaji wangu, wanataka kukushusha hao

Ally Kiba usikubali mshikaji wangu, wanataka kukushusha hao

Kama ni kweli anaechochea bifu ni akina Sallam na Mond anajua kuwa bifu ndio linampaisha AK ni kwanin Mond asimuonye salam kutokumfuatilia AK au na wao wanapata kiki zaid kwa kupitia AK???
 
Kamanda wangu Ali..mwanayanga mwenzangu..Bro Kelvin Yondani kaniambia umempigia simu kumpa hongera safi sana bro..lazma Simba wakae thisi time pamoja na yule Simba wao aliyepo kendwa Beach Zanzibar..mwanayanga mwenzangu umewasikia BASATA..Bro umewasikia..? bro umewasikia? nakwambia usikubali, Bro hawa watu watu wa serikali,, kweli siri kali..bro usikubali kabisa.usikubali!! yooo usikubali!!! eti wanasema wewe unabifu na Daimond, Daimond huyuhuyu aliyekuwa anaosha vyombo kwa mkata maono bobu junior..huyuhuyu ambaye ambaye alitaka eti mmshirikishe kwenye single boy ukamtosa ukasema anataka mteremko..huyu ambaye bila wewe kumwambia mkata maono yule jamaa mweupe kumsaini asinge wika leo.. bro usikubali!! bro wanataka kukushusha ..umesikia usikubali.

bro umewasikia basata eti wanasema unabifu na Daimond..eti wanataka kuwapatanisha..bro kuwapatanisha..bro kupatanishwa..bro usikubali.

Bro siumeona hata Wema alivyokugeuka..najua hujawahi kumpenda jokate hilo nalijua bro..siyo pigo zako ww Mwinyi mzee..upo ili upate attention na timu yake ya kudhania ikusaidie... endelea

Bro unajua wewe huna bidhaa ya kueleweka mtaani zaidi ya Bifu na Daimond..bro tokea uje ushafishe kiti chako bro kumbuka huna bidhaa mtaani ya kueleweka zaidi ya kuongelewa sana, kuandikwa sana kama navyofanya hata kufananishwa na Simba yule wa Tandale siyo simba wa Mavugo.. Bro mwanadaresalaam ilibamba mchangani(tanzania) labda na kenya.., chechetua hata kenya hawaijui.. lupela nadhani ilishia DAR NA kIBAHA...BUT NILIPENDA WALE MADEMU ULIKUWA NAO KWENYE LIFT..but wale tembo duu../

(Bro usikubali kupatanishwa na Daimond)

bro angalia hata ulizoshirikishwa humu ndani kama Nisamehe ya yule cheusi rafiki yake na stan bakora nayo imebuma haina trend ya kimataifa lakini Shinyanga Kahama kagongwa itafika but kenya No..averina itaishia mpwapwa tu..au samakisamaki ya Moro..ya huyu dmpoz kajiandae miye hata sijaelewa ..bro collabo inayokuweka mjini ile ya sauti sol ( siunajua hata Mtv base walikataa usiimbe Aje kwenye tuzo wakasema imba na wakenya (hii nimeambiwa nawatu wako wa karibu)
(Bro usikubali kupatanishwa na Daimond)

Bro kinacho kuweka Mjini siyo Yoo yako.. ni hako kabifu na Daimond.. bro bila bifu na Daimond bro utapotea..bro usikubali kupatanishwa na Diamond. bro wambie timu yako wapunguze matusi kuna jamaa mmjoa anaitwa shishiboy anakuharibia sana..
wambie wabishane kwa hoja..wakutetea sana..wamponde Daimond..
AllyKiba bila bifu na Daimond hata Jux,benpoll,Raymond watakupita...bro usikubali kupatanishwa na Daimond..// bro ivi unajua kuwa Ay, mwanafa, wasanii wakubwa sana lakini leo unaongelewa wewe tu..bro watu wanamsahau hadi yule msanii mwanaharakati Roma, watu hata nyimbo ya sumu ya Fid q hawafatalii..bro usikubali kupatanishwa

(Bro usikubali kupatanishwa na Daimond)

Bro leo nimekutana na mshikaji wako aliyekufungia Ac kariakoo mwaka juzi..

KESHO KANUSHA KWENYE MEDIA WAMBIE HUNA BIFU NA DIAMOND..alafu sema Babutale ndo kasema kwa mkuu wa mkoa kwamba eti wewe unabifu na daimond alafu kama kawa timu yako wamtolee mapovu Tale kama yule cheupe fundi mitambo..

bro hongera kwa kupata tuzo Mtvema awards..nzuri hii..! ila wizkid alistahili kiukweli mtu wangu..lakini hongera sana bro wangu

wote timu Kiba msikubali kibakuli apatane na Diamond ni kumzika allykiba..
japo wengine watasema miye nakuponda lakini nimekusaidia mtu wangu..seven hawez kukubali ujinga huu wa kupatanishwa na Daimond..kuna kipind Rihana wakati anaanza alipoimba umbrella alikuwa na bifu ya kutengeneza na Beyonce eti Beyonce anammaindi Rihhana anatembea na Jiga boy.. lakini kwa hatua aliyofika Rihanna kimziki anweza kuwa rafiki wa Beyonce.

bro this tyme imbia melody ya juu..alafu tafuta international artist wa ghana, nigeria, au south.. hawa wakina poz kwa poz wanakupotezea muda tu.

nataka Tanzania tuwe na wakina Daimond kama 20 ivi..!!

bro usikubali kupatanishwa na Daimond kwa sasa..
kiukweli miye nyimbo ambazo ninazozipenda from you bro ni mapenzi yanarun dunia na aje..! bro usikubali bro..usikubali bro..hata kuimba na Diamond usikubali bro

by Timu Tanzania
When you Go Low, We Go High. Hi ndo tofauti kati yako na Sisi, Kweli Watanzania mmefikia hapa?..Daah Bora Rais asaini huo Mswada haraka sana.
 
Waache wapatinishwe bifuzao zinagawamashabiki wa musik nakuwafanya wakose tuzo kwaajil ya bifu zao
 
Waache wapatinishwe bifuzao zinagawamashabiki wa musik nakuwafanya wakose tuzo kwaajil ya bifu zao
Nani amekosa tuzo... Diamond anapata tuzo kila siku kwa sababu ya uwezo.. Allykiba kupata tuzo bado inabidi abadili style yake ya mziki..
 
Mimi kutaja jina la huyo nani sijui kwenye habari tamu naona nazidi kumpa promo,ila ni kweli nitamtafuta Sallam hasiwe anampa promo huyo nani sijui kwenye posti zake.
Hivi ndivyo ilivyokuwa jana huko ZNZ.

Yaaaani umeanza vizuri katika umekunywa viroba ndii umemalizia
Aliyekwambia kinacho mpaisha kiba ni biffu na dimond nani???????
Upo field unajifunza kuandika au????
 
Yaaaani umeanza vizuri katika umekunywa viroba ndii umemalizia
Aliyekwambia kinacho mpaisha kiba ni biffu na dimond nani???????
Upo field unajifunza kuandika au????
Hapo sasa Timu ya kibakuli mnavyokosa uvimilivu
 
Wakati naanza kuisoma sikuelewa, but umeandika vizuri kwa style tofauti. Japo na wewe ni team mondi katika kivuli cha team Tanzania
 
Hili bifu ni la mashabiki ila sidhani kama wenyewe kiukweli wanatatizo kubwa hivo,linakuzwa mno kuliko ukweli ulivo.....mashabiki mnampoteza kiba acheni kumshikia akili..
 
Wakati naanza kuisoma sikuelewa, but umeandika vizuri kwa style tofauti. Japo na wewe ni team mondi katika kivuli cha team Tanzania

Asante sana.. Miye Timu Tanzania.. Timu mziki mzuri
 
Lol, don't detect sarcasm because there's none. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaka kumpatanisha diamondi na Ali, waondoe watu walio mzunguka Ali kwani wengi wana chuki na diamondi
Ondoa tim Kiba, ondoa Ruge wa cloud(anakuza bifu kwa sababu zake binafsi) na queen wao Jokate (ni ex wa diamond hawakiachana vyema hawa), kama akiendelea kuwa na watu hao hawawezi kuja kupatana. Mashabiki wa kiba asilimia 99 ni wanao mchukia diamond, kuthibitsha hilo mbona Kiba alikuwepo kabla ya domo ila tim Kiba haikuwepo, yaan msanii atoke kisanaa mwaka 2006 halafu timu iundwe 2014!!! Na ukumbuke kipindi hiko Kiba alikuwa wamoto pia tena akipambana na Marlaw.

Kwa diamondi unahitaji kumtuliza tu Sallam huyu ndio huwa anakuwaga na kimuhe muhe na Kiba bila sababu, sasa huwa ana saidia kumkuza Kiba bila kujua atulie na yeye.

Kiba ni mkongwe ana miaka takriban 10 kwenye gem hana haja ya kutegemea bifu na msanii wa kimataifa Diamond ili kuweka jina lake juu tena akumbuke diamond kamkuta yeye kwenye gem. Diamond pia ni msanii wa kimataifa sasa kwa nini ana pick fights na local musicians!!!? Ajiamini naye sasa.
Hebu wapatanishwe sasa.
Sio hivyo tu hata humu jf zisianzishwe thread zozote kuhusu hilo bifu.Na hata likianzishwa na yeyote yule, asitokee yeyote wa kureply manake hata humu kunawatu wanapenda sana bif liendelee.Kama wewe ni team Kiba usibeze team diamond pia kama wewe ni team diamond usiumia kuona team diamond....then there will be no any bif.....thanks nawasilisha hoja
 
Sio hivyo tu hata humu jf zisianzishwe thread zozote kuhusu

Sio hivyo tu hata humu jf zisianzishwe thread zozote kuhusu hilo bifu.Na hata likianzishwa na yeyote yule, asitokee yeyote wa kureply manake hata humu kunawatu wanapenda sana bif liendelee.Kama wewe ni team Kiba usibeze team diamond pia kama wewe ni team diamond usiumia kuona team diamond....then there will be no any bif.....thanks nawasilisha hoja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aaah
Naona umeamua kunichana
 
Ukitaka kumpatanisha diamondi na Ali, waondoe watu walio mzunguka Ali kwani wengi wana chuki na diamondi
Ondoa tim Kiba, ondoa Ruge wa cloud(anakuza bifu kwa sababu zake binafsi) na queen wao Jokate (ni ex wa diamond hawakiachana vyema hawa), kama akiendelea kuwa na watu hao hawawezi kuja kupatana. Mashabiki wa kiba asilimia 99 ni wanao mchukia diamond, kuthibitsha hilo mbona Kiba alikuwepo kabla ya domo ila tim Kiba haikuwepo, yaan msanii atoke kisanaa mwaka 2006 halafu timu iundwe 2014!!! Na ukumbuke kipindi hiko Kiba alikuwa wamoto pia tena akipambana na Marlaw.

Kwa diamondi unahitaji kumtuliza tu Sallam huyu ndio huwa anakuwaga na kimuhe muhe na Kiba bila sababu, sasa huwa ana saidia kumkuza Kiba bila kujua atulie na yeye.

Kiba ni mkongwe ana miaka takriban 10 kwenye gem hana haja ya kutegemea bifu na msanii wa kimataifa Diamond ili kuweka jina lake juu tena akumbuke diamond kamkuta yeye kwenye gem. Diamond pia ni msanii wa kimataifa sasa kwa nini ana pick fights na local musicians!!!? Ajiamini naye sasa.
Hebu wapatanishwe sasa.
No! Mkuu Alikiba alianza kabla ya Diamond... So diamond ndo yule waliokuwa wanamsubiria wale wasiompenda kiba...
Sinaga team ila sipendi ujinga ujinga
 
Mtoa mada unaweza toa ushauri vizuri lakin malengo ya ushauri wako yanahakisi kumchafua kiba uwezi sema mtu ana chochote alafu unakubali watz wanamkuba watz siwajinga awawezi kumkubali mtu asiye na kitu,tatizo wewe upo timu pinzani uwezi shauri vzr tuwahachie watu wa mziki wanajua cha kufanya,ata km kiba yupo katika ili jukwaa naamini awezi chukua huo ushauri wako,kwa maana una lugha ya kuuzi na ya kichochezi
 
Back
Top Bottom